Wananchi tunauliza kulikoni ujenzi wa reli ya kisasa toka Mwanza hadi Isaka?

Wananchi tunauliza kulikoni ujenzi wa reli ya kisasa toka Mwanza hadi Isaka?

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
948
Reaction score
1,627
Wananchi tulishuhudia ujenzi wa reli ya kisasa toka Mwanza mpaka Isaka - Shinyanga na ghafla tunaona ujenzi huo umesimama. Tunauliza kulikoni?. Ni vema Serikali ikawajulisha wananchi sababu za kupelekea ujenzi huo kusimama ghafla.
 
Nenda kwa familia ya hayati uwaambie waturudishie ile trilion 1.5 tujengee reli.
 
Back
Top Bottom