K koryo1952 JF-Expert Member Joined Mar 7, 2023 Posts 948 Reaction score 1,627 May 29, 2024 #1 Wananchi tulishuhudia ujenzi wa reli ya kisasa toka Mwanza mpaka Isaka - Shinyanga na ghafla tunaona ujenzi huo umesimama. Tunauliza kulikoni?. Ni vema Serikali ikawajulisha wananchi sababu za kupelekea ujenzi huo kusimama ghafla.
Wananchi tulishuhudia ujenzi wa reli ya kisasa toka Mwanza mpaka Isaka - Shinyanga na ghafla tunaona ujenzi huo umesimama. Tunauliza kulikoni?. Ni vema Serikali ikawajulisha wananchi sababu za kupelekea ujenzi huo kusimama ghafla.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 May 29, 2024 #2 Mambo ya serikali ndivyo yalivyo... Cc: Mahondaw
M mkaruka ataja rinu JF-Expert Member Joined Aug 27, 2016 Posts 3,527 Reaction score 2,469 May 29, 2024 #3 Tunaielekeza pesa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji, na vitongoji kwanza.
Ujiji777 Senior Member Joined May 29, 2024 Posts 169 Reaction score 58 May 29, 2024 #4 Ujenzi unaendelea vizuri mbona Kuna shida?
C Chief Sanze JF-Expert Member Joined Jun 13, 2014 Posts 1,668 Reaction score 3,736 May 29, 2024 #5 Nenda kwa familia ya hayati uwaambie waturudishie ile trilion 1.5 tujengee reli.
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 May 29, 2024 #6 No money 🤗