Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
erythrocyte atakataaWananchi wa Tunduru, mkoani Ruvuma leo wamejikuta wakigombania kadi za kuomba uanachama wa Chama cha Ukombozi wa Umma(CHAUMMA).
Tukio hilo limetokea leo baada ya viongozi wa chama hicho kuzungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Tunduru.
Baada ya kumaliza kuzungumza, viongozi wa chama hicho walijikuta katika wakati mgumu baada ya idadi kubwa ya wananchi kuwakimbilia ili wapewe kadi za uanachama huku wengine wakivamia jukwaa.
Kutokana na hali hiyo iliwabidi viongozi wa chama hicho kuanza kuwaomba watulie na wasubiri kuwekewa utaratibu mzuri ili kila mtu apatiwe kadi ambapo wengine walifikia hatua ya kunyang'anyana kadi na kila aliyeipata alikwenda kupanga foleni kwa ajili ya kuandikisha jina kwa ajili ya kuomba kujiunga na chama hicho.
Ingekuwa CHADEMA ungepongeza aise.Huu uandishi ni kama wa Erythrocyte ujinga ujinga tuu
Mm sio chadema wala sina chama, nmezungumzia uandishi wakeIngekuwa CHADEMA ungepongeza aise.
Kabisa,Chadema wamepoteza sifa hiyo kwa sababu ya kuongozwa na watu wasiokuwa na maonoChauma imekuwa chama kikuu cha upinzani
Ishirini na tanoUbwabwa walipika sufuria ngapi? 😹
Ni kweli inakubalika, ina wanachama zaidi ya milioni ishirini aiseeChaumma kinakubalika sana.Huku kwetu walikuja na ubwabwa tukala
We nyumbu hasira za nini? We unaumwa siyo bureTakataka
TAKA TAKA
Ht macho hayaoni we bwege, chadomo kwishnetAcha bla blah.
Chauma na kadi za uwanachama wapi na wapi?
Chauma ni ubwabwa tu, wagawe ubwabwa watu watakimbilia na kupanga foleni, kadi za uanachama ni issue za Chadema, CCM nk.