ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Baada ya kutoka sare na timu ya KMC Kumekuwa na maneno mengi juu ya hali ya timu,wachezaji,uongozi na hata uwezo wa mchezaji mmoja mmoja,kila mashabiki analalamika kivyake
Niwaombe yanga wenzangu kua yale ni matokeo ya kawaida tu,ambayo timu imekua ilikiyapata hata siku za nyuma,tatizo kubwa wengi wetu tumeingiza simba vichwani mwetu na wengi sasa baada ya siku nyingi tulipenda kuona Yanga ikishinda kirahisi goli nyingi dhidi ya kmc ile game ya kwanza...matokeo hayakuwa hivyo ndio hasira zote hizi
Cha msingi tuliache benchi lifanye kazi yake kama ni mapungufu labda ni kiwango cha uwekezaji tu. Bado nina imani kubwa na wachezaji wetu hasa wageni wote wana uwezo mzuri tu tatizo nilionalo ni misumari hapa tz...hivyo tuvute subira taratibu tutafika.
Kwanini tunakufa moyo wakati tunaongoza ligi?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app