"Wananchi" tusiumizwe na saikolojia baada ya kutoka sare na timu ya KMC

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Baada ya kutoka sare na timu ya KMC Kumekuwa na maneno mengi juu ya hali ya timu,wachezaji,uongozi na hata uwezo wa mchezaji mmoja mmoja,kila mashabiki analalamika kivyake

Niwaombe yanga wenzangu kua yale ni matokeo ya kawaida tu,ambayo timu imekua ilikiyapata hata siku za nyuma,tatizo kubwa wengi wetu tumeingiza simba vichwani mwetu na wengi sasa baada ya siku nyingi tulipenda kuona Yanga ikishinda kirahisi goli nyingi dhidi ya kmc ile game ya kwanza...matokeo hayakuwa hivyo ndio hasira zote hizi

Cha msingi tuliache benchi lifanye kazi yake kama ni mapungufu labda ni kiwango cha uwekezaji tu. Bado nina imani kubwa na wachezaji wetu hasa wageni wote wana uwezo mzuri tu tatizo nilionalo ni misumari hapa tz...hivyo tuvute subira taratibu tutafika.

Kwanini tunakufa moyo wakati tunaongoza ligi?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kwani Eng Hersi anasemaje kuhusu kutokuchukua ubingwa?
 
Mbona uzi umedoda au ndo kelele za vyura
 
nafasi ya tatu inawasubiri kutoka kuwa washindi unbiteni, lazima stress ziwaue mwaka huu
Acha washike nafasi ya tatu hawana adabu wala shukrani! Tumewabeba ili waingie caf champions league lakini hawataki kutoa shukrani! Dhana ya maskini jeuri haisaidii!
 
Baada ya kutoka sare na timu ya KMC Kumekuwa na maneno mengi juu ya hali ya timu,wachezaji,uongozi na hata uwezo wa mchezaji mmoja mmoja,kila mashabiki analalamika kivyake

Niwaombe yanga wenzangu kua yale ni matokeo ya kawaida tu,ambayo timu imekua ilikiyapata hata siku za nyuma,tatizo kubwa wengi wetu tumeingiza simba vichwani mwetu na wengi sasa baada ya siku nyingi tulipenda kuona Yanga ikishinda kirahisi goli nyingi dhidi ya kmc ile game ya kwanza...matokeo hayakuwa hivyo ndio hasira zote hizi

Cha msingi tuliache benchi lifanye kazi yake kama ni mapungufu labda ni kiwango cha uwekezaji tu. Bado nina imani kubwa na wachezaji wetu hasa wageni wote wana uwezo mzuri tu tatizo nilionalo ni misumari hapa tz...hivyo tuvute subira taratibu tutafika.

Kwanini tunakufa moyo wakati tunaongoza ligi?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Tunaongoza kwa muda tu,lakini simba watatupira kwa kasi ya 4g
 
Back
Top Bottom