Wananchi wa Crimea waombwa wachukue tahadhari ya mabomu, maana ukombozi unakuja

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Wananchi walioko Crimea wameagizwa wachukue tahadhari ya mabomu, maana vita vitahamia huko muda usio mrefu na kutakua na umwagikaji wa damu balaa kwenye jitihada za kumfukuzia adui Urusi aliyeingilia nchi ya watu, wanajeshi wa Ukraine wanajitoa mhanga, wanauawa kishujaa kwa ajili ya vizazi vyao vya baadaye, ardhi lazima ikombolewe. Supapawa wa mchongo anakipata pata.

Ukraine on Monday warned residents in occupied Crimea to start preparing bomb shelters and supplies as Kyiv’s counter-offensive to reclaim southern Ukraine gathers pace.

The warning came as Moscow admitted it had been forced to pause preparations for a sham referendum to formally join Russia due to security concerns.

In a sign the assault has made progress, one of Volodymyr Zelensky’s top aides said the illegally annexed peninsula should prepare for “de-occupation”.

Ukrainian forces last week launched a major counter-offensive, its first since the beginning of the war, to take back control of Russian-held territory in the region.

Despite the attack said to be focused on southern Ukraine, Kyiv on Monday warned residents in Crimea, which was annexed by Russia in 2014, to brace for the potential of fierce fighting.

“We ask residents of occupied territories, including the Crimean peninsula, to follow [Ukrainian] officials’ recommendations during de-occupation measures,” Mykhailo Podolyak, a senior aide to the Ukrainian president, wrote on Twitter.

“In particular, to prepare a bomb shelter, stock up with sufficient amounts of water and charge power banks. Everything will be in Ukraine.”

MSN
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Fb6djA6XkAIznJ6.jpg
 
Wananchi walioko Crimea wameagizwa wachukue tahadhari ya mabomu, maana vita vitahamia huko muda usio mrefu na kutakua na umwagikaji wa damu balaa kwenye jitihada za kumfukuzia adui Urusi aliyeingilia nchi ya watu, wanajeshi wa Ukraine wanajitoa mhanga, wanauawa kishujaa kwa ajili ya vizazi vyao vya baadaye, ardhi lazima ikombolewe....
Supapawa wa mchongo anakipata pata...

Kutakuwaje na vita ilhali Braza Mtalimbo ktk thread yake aliandika kuwa Urusi ilishaanza kufungasha virago

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Urusi kazi wanayo ndege ya kivita inapigwa na mtu aliepanda juu ya bati na kuitungua kwa risasi tena wazee wa pensioner hii vita wasipoangalia itawaumbua maana wameanza mazoezi na China na pia kitendo cha kutumia wafungwa kimewashusha sana...
 
Wananchi walioko Crimea wameagizwa wachukue tahadhari ya mabomu, maana vita vitahamia huko muda usio mrefu na kutakua na umwagikaji wa damu balaa kwenye jitihada za kumfukuzia adui Urusi aliyeingilia nchi ya watu, wanajeshi wa Ukraine wanajitoa mhanga, wanauawa kishujaa kwa ajili ya vizazi vyao vya baadaye, ardhi lazima ikombolewe....
Supapawa wa mchongo anakipata pata...

Ukraine on Monday warned residents in occupied Crimea to start preparing bomb shelters and supplies as Kyiv’s counter-offensive to reclaim southern Ukraine gathers pace.
The warning came as Moscow admitted it had been forced to pause preparations for a sham referendum to formally join Russia due to security concerns.

In a sign the assault has made progress, one of Volodymyr Zelensky’s top aides said the illegally annexed peninsula should prepare for “de-occupation”.

Ukrainian forces last week launched a major counter-offensive, its first since the beginning of the war, to take back control of Russian-held territory in the region.

Despite the attack said to be focused on southern Ukraine, Kyiv on Monday warned residents in Crimea, which was annexed by Russia in 2014, to brace for the potential of fierce fighting.

“We ask residents of occupied territories, including the Crimean peninsula, to follow [Ukrainian] officials’ recommendations during de-occupation measures,” Mykhailo Podolyak, a senior aide to the Ukrainian president, wrote on Twitter.

“In particular, to prepare a bomb shelter, stock up with sufficient amounts of water and charge power banks. Everything will be in Ukraine.”

MSN
Dah nimecheka Sana wallahi🤣🤣🤣
 
Wafungwa wa Russia wana shida sana yaani unatolewa kifungoni unapelekwa vitani kuwa cannon fodder....!!!

Wanasema eti Russia wana wanajeshi zaidi ya milioni moja, huu ni uongo kabisa.

Taarifa ya idadi ya wanajeshi katika nchi hua ni uongo mtupu na takwimu hizo waga zinatiwa chumvi ili kutisha mataifa mengine kusudi ionekane nchi husika ina jeshi kubwa.

Russia wangekuwa na wanajeshi wengi kiasi hicho wasingechukua wafungwa na kuwapeleka kwenye vita Ukraine.
 
Dah nimecheka Sana wallahi🤣🤣🤣

Yeah!! Vijana wa Ukraine wameibadilisha imekua kicheko, maana ilikua hofu kali sana ile siku tuliona limsafara linaelekea Kyev, ila kwa namna lilipigwa na wabeba javelin, tangu hiyo siku ni vicheko tu.
 
Back
Top Bottom