Wananchi wa Goma wataka Jeshi la Kenya kuondoka Goma

Udhaifu wa jeshi la Kenya wasababisha wakazi wa goma kuandamana kushinikiza jeshi hilo dhaifu kuondoka goma lirudi kwao Kenya [emoji1139] baada ya kuonesha udhaifu mkubwa nchini kongo
MK254
Tatizo la wananchi wa Kongo hawaelewi taratibu za kulinda amani na kutengeneza amani.

Ndio maana wanaingia migogoro na askari wa umoja wa mataifa na haya ya kikanda.

Wao walidhani kulinda na kutengeneza amani ni kwenda kupigana , na walifikiri wanatumia mavifaru, makombora na ma drones kuwasambaraisha ma M23 lakini kinyume wanaona wanafanya doria, kuelimisha na kusuluisha zaidi. Kwao walitaka battle battle
 
Kwanini wanataka jeshi dhaifu la Kenya liondoke sio wengine
 
Udhaifu wa jeshi la Kenya wasababisha wakazi wa goma kuandamana kushinikiza jeshi hilo dhaifu kuondoka goma lirudi kwao Kenya [emoji1139] baada ya kuonesha udhaifu mkubwa nchini kongo
MK254

MOSALA ELEKA MALOBA NA EBELE - actions speaks louder than words
 
Chezea Mungu wewe!! mnabomoa kanisa kuiba bati,milango na madirisha kisa wenye nalo ni wanyamulenge?? nchi ikiwa na rais mjinga,na raia wanakua wajinga.
IMG_20230206_180245.jpg
IMG_20230206_180235.jpg

Udhaifu wa jeshi la Kenya wasababisha wakazi wa goma kuandamana kushinikiza jeshi hilo dhaifu kuondoka goma lirudi kwao Kenya [emoji1139] baada ya kuonesha udhaifu mkubwa nchini kongo
MK254
Congo ina viongozi wajinga,wanajua maana ya kulinda amani?

Ona Walinzi wa Waziri mkuu wakizichapa na Wabunge.👇
 
Tatizo la wananchi wa Kongo hawaelewi taratibu za kulinda amani na kutengeneza amani.

Ndio maana wanaingia migogoro na askari wa umoja wa mataifa na haya ya kikanda.

Wao walidhani kulinda na kutengeneza amani ni kwenda kupigana , na walifikiri wanatumia mavifaru, makombora na ma drones kuwasambaraisha ma M23 lakini kinyume wanaona wanafanya doria, kuelimisha na kusuluisha zaidi. Kwao walitaka battle battle
Mkuu Kenya walienda kufanya peace forcing yaani kuwanyang'anya silaha waasi (to disarm).
Hata mkuu wao kipindi anatua alisema hivyo
Sudan ndio kuna peace keeping
 
Congo ina viongozi wajinga,wanajua maana ya kulinda amani?

Ona Walinzi wa Waziri mkuu wakizichapa na Wabunge.[emoji116]
Hii haiondoi kuwa jeshi la Kenya [emoji1139] ni dhaifu
 
Back
Top Bottom