Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Congratulation ni Makabiliano
Elimu haina mwisho, ngoja nirudi darasani nikajifunze zaidi hii lugha. Nilidhani confrontation ndiyo makabiliano kumbe sivyo [emoji848]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Congratulation ni Makabiliano
Hawataki utani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Congo ina viongozi wajinga,wanajua maana ya kulinda amani?
Ona Walinzi wa Waziri mkuu wakizichapa na Wabunge.[emoji116]
😀 Kibarango bwana.... Umetisha mpaka basi! Hadi "Congratulations" Duu!!KDF haijulikani imeenda DRC kufanya Nini?. Ni kama inaogopa direct congratulations na M 23
Kiingereeza kigumu sana, haha haha hahaulitaka kumaanisha confrontation?
Huwezi kuweka jeshi halafu watu wanaendelea kufa, si bora lisiwepo.Hata aliyeandaa hizo sheria ni msenge mmoja tu.Watu wanatekwa wanabakwa wanauawa nyie mwasema walinzi wa amani.KWANI AMANI NI NINI?labda inatafsirika tofauti.Tatizo la wananchi wa Kongo hawaelewi taratibu za kulinda amani na kutengeneza amani.
Ndio maana wanaingia migogoro na askari wa umoja wa mataifa na haya ya kikanda.
Wao walidhani kulinda na kutengeneza amani ni kwenda kupigana , na walifikiri wanatumia mavifaru, makombora na ma drones kuwasambaraisha ma M23 lakini kinyume wanaona wanafanya doria, kuelimisha na kusuluisha zaidi. Kwao walitaka battle battle
Kaisome vizuri chapter VII ya UN CHARTERHuwezi kuweka jeshi halafu watu wanaendelea kufa, si bora lisiwepo.Hata aliyeandaa hizo sheria ni msenge mmoja tu.Watu wanatekwa wanabakwa wanauawa nyie mwasema walinzi wa amani.KWANI AMANI NI NINI?labda inatafsirika tofauti.
Na hapo ndo matatizo yalipo mnafanya nini kwenye eneo lisilo na amani na watu wanakufa.Nahitaji tutumie akili na macjo yetu sio chapter na sheria za kipuuzi.Kaisome vizuri chapter VII ya UN CHARTER
Burundi na South SudanNchi gani nyingune ya EAC iliyopeleka Jeshi pale? Rwanda au?
We mr putinChezea Mungu wewe!! mnabomoa kanisa kuiba bati,milango na madirisha kisa wenye nalo ni wanyamulenge?? nchi ikiwa na rais mjinga,na raia wanakua wajinga.
Majizi ya kenya sasa yako goma kuiba madini! trust me! Hayo majamaa yote ni majambazi tu!Udhaifu wa jeshi la Kenya wasababisha wakazi wa goma kuandamana kushinikiza jeshi hilo dhaifu kuondoka goma lirudi kwao Kenya [emoji1139] baada ya kuonesha udhaifu mkubwa nchini kongo
MK254
KDF EAC Regional Force deployed in the Eastern DRC yesterday restored water supply to residents of Kabaya, Biluma, Rumangabo and nearby villages in the Rutshuru territory after repairing, servicing and fueling a faulty generator.
View attachment 2510597View attachment 2510598View attachment 2510599View attachment 2510600
www.ktpress.rw