Wananchi wa Goma wataka Jeshi la Kenya kuondoka Goma

KDF haijulikani imeenda DRC kufanya Nini?. Ni kama inaogopa direct congratulations na M 23
😀 Kibarango bwana.... Umetisha mpaka basi! Hadi "Congratulations" Duu!!
😂
😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Huwezi kuweka jeshi halafu watu wanaendelea kufa, si bora lisiwepo.Hata aliyeandaa hizo sheria ni msenge mmoja tu.Watu wanatekwa wanabakwa wanauawa nyie mwasema walinzi wa amani.KWANI AMANI NI NINI?labda inatafsirika tofauti.
 
Huwezi kuweka jeshi halafu watu wanaendelea kufa, si bora lisiwepo.Hata aliyeandaa hizo sheria ni msenge mmoja tu.Watu wanatekwa wanabakwa wanauawa nyie mwasema walinzi wa amani.KWANI AMANI NI NINI?labda inatafsirika tofauti.
Kaisome vizuri chapter VII ya UN CHARTER
 
Kaisome vizuri chapter VII ya UN CHARTER
Na hapo ndo matatizo yalipo mnafanya nini kwenye eneo lisilo na amani na watu wanakufa.Nahitaji tutumie akili na macjo yetu sio chapter na sheria za kipuuzi.
 
Chezea Mungu wewe!! mnabomoa kanisa kuiba bati,milango na madirisha kisa wenye nalo ni wanyamulenge?? nchi ikiwa na rais mjinga,na raia wanakua wajinga.
We mr putin
Wanyamulenge waangalie namna ya kumaliza tatizo na congo.
Vita havisaidii.
 
Yani ufanye makubaliano na Pk ,
Hivi Kuna makubaliano yoyote ambayo kagame Kafanya ya kusimamisha vita akafuata, hakuna hata moja.
Mwaka 1993 walisaini mkataba wa arusha kumaliza vita rwanda ,
Ila 6/4/1994 akarudisha tena nchi kwenye vita.

Mwaka 2003 after second congo walisaini mkataba ila baada ya hapo akaanzisha vita tena congo kupitia nkunda batware.
2013 walifanya hivyo hivyo ila wapi.

Pia mwaka jana walifanya hivyo hivyo angola na Felix.
Ila ameanzisha tena vita.
 
Kwanini wanataka jeshi dhaifu la kenya sio Burundi na South Africa
 
Udhaifu wa jeshi la Kenya wasababisha wakazi wa goma kuandamana kushinikiza jeshi hilo dhaifu kuondoka goma lirudi kwao Kenya [emoji1139] baada ya kuonesha udhaifu mkubwa nchini kongo

MK254
Majizi ya kenya sasa yako goma kuiba madini! trust me! Hayo majamaa yote ni majambazi tu!
 
KDF EAC Regional Force deployed in the Eastern DRC yesterday restored water supply to residents of Kabaya, Biluma, Rumangabo and nearby villages in the Rutshuru territory after repairing, servicing and fueling a faulty generator.
 

Useless Army
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…