Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 2,536
- 7,194
Wananchi wa kata ya Ihumwa wametaka kurejeshwa kwa jina mgombea wao wa Udiwani alie ondolewa kwa madai ya sababu za kimaadili.
Wakiongea na Dodoma Fm wananchi hao wamemtaka msimamizi wa uchaguzi wa chama cha CCM mkoa wa Dodoma kuwasaidia ili jina la mgombea huyo wanae mtaka lirejeshwe mara moja kwani wanadai kuwa ndie walie mpitisha na wanamuhitaji hivyo wanataka jina lake lirudishwe .