GE2025 Wananchi wa Ihumwa wataka mgombea aliyekatwa jina lake lirudishwe

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Wananchi wa kata ya Ihumwa wametaka kurejeshwa kwa jina mgombea wao wa Udiwani alie ondolewa kwa madai ya sababu za kimaadili.

Wakiongea na Dodoma Fm wananchi hao wamemtaka msimamizi wa uchaguzi wa chama cha CCM mkoa wa Dodoma kuwasaidia ili jina la mgombea huyo wanae mtaka lirejeshwe mara moja kwani wanadai kuwa ndie walie mpitisha na wanamuhitaji hivyo wanataka jina lake lirudishwe .

Your browser is not able to display this video.
 
CCM imekufa rasmi. Imebakia Kamati kuu tu ambayo inasaidiwa na dola kuendelea kupumua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…