Bf Tulinagwe
JF-Expert Member
- Dec 11, 2019
- 211
- 383
Maandamano ya amani ambayo baadae yaligeuka yenye vurugu yafanywa na wananchi wa Irani hasa wanafunzi wa vyuo kulaumu kitendo cha kudungua ndege ya abiria ya ukraine kimakosa., Wanahoji ni kwa nini kiongozi wa kidini wa nchi hiyo Ayatollah Ali Khamenei asiachie ngazi.
Balozi wa United Kingdom(UK) nchini Irani (Rob Macaire)ametiwa nguvuni kwa shutuma za kuhamasisha maandamano hayo.
Wengi wanahoji ni kwanini iruhusiwe kupaa hali ikitiwa shaka??
Chanzo Aljazeera.
Balozi wa United Kingdom(UK) nchini Irani (Rob Macaire)ametiwa nguvuni kwa shutuma za kuhamasisha maandamano hayo.
Wengi wanahoji ni kwanini iruhusiwe kupaa hali ikitiwa shaka??
Chanzo Aljazeera.