Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nendeni mkampindue[emoji23][emoji23]Na kusema kweli Ayatollah ndio tatizo kubwa la Iran, kwa kuwa cheo chake ni Cha maisha anajiamulia kufanya lolote kwa sababu hakuna wa kumhoji.
Mwenye cheo sawasawa na Cha Ayatollah anajulikana hapa nchini naye ni supreme leaderNendeni mkampindue[emoji23][emoji23]
Halafu hapo nchini kwako tatizo ni nani ?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Iran wameitungua bahati mbaya, sana sana wanaweza kulipa familia za marehemu fidia.
Bahati mbaya hutokea
87 tech ilikua kama leo ? Ni aibu 2020 kutungua ndege kimakosa...aibu mkuu [emoji16]
Kosa alilofanya mtu miaka 33 ,ww ndio unalifanya 2020 kweli? Hivyo iran hadi ifike 2053 ndio itakua sophisticated enough na kuacha kufanya hizi errors
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenye cheo sawasawa na Cha Ayatollah anajulikana hapa nchini naye ni supreme leader
Kwan elizabeth anaukomo ?! .....Wa hapa nchini si ana ukomo mkuu decade moja...Ayatoula Ali Komenei sio wa maisha yule kweli????