Wananchi wa Irani wafanya maandamano ya ghasia kushinikiza viongozi wa nchi kujiuzulu

Wananchi wa Irani wafanya maandamano ya ghasia kushinikiza viongozi wa nchi kujiuzulu

Lazima pesa imetembezwa hapo na mabeberu na wasipoangalia vizuri watavurugana kwelikweli.

Nilitarajia waandamane kushinikiza viongozi wao kwa nchi yao kushindwa kulipa kisasi kwa USA siyo kwa upuuzi huo.

Au siku hizi Iran ni Jamhuri ya kilokole?
 
87 tech ilikua kama leo ? Ni aibu 2020 kutungua ndege kimakosa...aibu mkuu [emoji16]

Kosa alilofanya mtu miaka 33 ,ww ndio unalifanya 2020 kweli? Hivyo iran hadi ifike 2053 ndio itakua sophisticated enough na kuacha kufanya hizi errors

Sent using Jamii Forums mobile app


Hata Mimi numemshangaa mkuu.. Yaani linaloitwa taifa kubwa mashariki ya kati linashindwa kutofautisha ndege ya abiria na ndege ya kivita??? Kwani jeshi la Iran hakuna radar au Kila kitu kikipita Kwenye eneo la jeshi ni kudungua tu.. Hv inawezekana kweli kuwa hyo ndege ilipita eneo hilo kimakosa???nashindwa kuamini
 
Back
Top Bottom