Bf Tulinagwe
JF-Expert Member
- Dec 11, 2019
- 211
- 383
Kha.Na kusema kweli Ayatollah ndio tatizo kubwa la Iran, kwa kuwa cheo chake ni Cha maisha anajiamulia kufanya lolote kwa sababu hakuna wa kumhoji.
wamkate kichwa uyo balozi,(Rob Macaire)ametiwa nguvuni kwa shutuma za kuhamasisha maandamano
Umesema wakati wa vita ya Kagera ilitokea kitu kaam hicho, Je, Iran ilikuwa kàtika vita?Kwa hiyo ndio sababu kubwa ya wao kuandamana au kuna kingine ?
kwa sababu kwanini wasingeandamana kwa jeshi kufanya uzembe hadi kiongozi wa Quds kuuwawa,wanakuja kuandamana kwa jeshi kufanya makosa wakati wa kujihami.
Sawa,tuseme jeshi limezembea hiyo ni kweli,katika vyovyote makosa hutokea na hayalazimishwi kuitwa kuwa ni makosa ya kitaaluma,kwani hata wakati wa vta vya Kagera kilitokea kitu kama hicho,je je ,,,,je je je jeeeeeee ?
Umeelewa nilivyomalizia kwa kusema JE JE JE JE JE JEEEEEEEE ?Umesema wakati wa vita ya Kagera ilitokea kitu kaam hicho, Je, Iran ilikuwa kàtika vita?
Sababu zilizotolewa juu ya kamanda wa Quds kuuawa zilitosha kuwafanya wawe watulivu kwa sababu alichoenda kukifanya Iraq lilikuwa tukio la kusikitisha sana.
Iran imeua watu wake na hao watu wamekosa Imani na serikali yao kama inaweza kuwaua hata watu wake wenyewe, hiyo ndio sababu kubwa ya watu hao kuandamana. Kipindi ambacho hakukuwa na tishio lolote la kiusalama wanaamua kufanya uharibu na kuleta huzuni kwa watu wake wenyewe.
target ya Iran ni kuua majasusi wa kikanada waliopo kwenye ile ndege, hao wairani waliokufa ni collateral damage,Umesema wakati wa vita ya Kagera ilitokea kitu kaam hicho, Je, Iran ilikuwa kàtika vita?
Sababu zilizotolewa juu ya kamanda wa Quds kuuawa zilitosha kuwafanya wawe watulivu kwa sababu alichoenda kukifanya Iraq lilikuwa tukio la kusikitisha sana.
Iran imeua watu wake na hao watu wamekosa Imani na serikali yao kama inaweza kuwaua hata watu wake wenyewe, hiyo ndio sababu kubwa ya watu hao kuandamana. Kipindi ambacho hakukuwa na tishio lolote la kiusalama wanaamua kufanya uharibu na kuleta huzuni kwa watu wake wenyewe.
kwa kuleta uhanisi kwa mwajemi, anadhani yupo Glasgow ?
Umesema wakati wa vita ya Kagera ilitokea kitu kaam hicho, Je, Iran ilikuwa kàtika vita?
Sababu zilizotolewa juu ya kamanda wa Quds kuuawa zilitosha kuwafanya wawe watulivu kwa sababu alichoenda kukifanya Iraq lilikuwa tukio la kusikitisha sana.
Iran imeua watu wake na hao watu wamekosa Imani na serikali yao kama inaweza kuwaua hata watu wake wenyewe, hiyo ndio sababu kubwa ya watu hao kuandamana. Kipindi ambacho hakukuwa na tishio lolote la kiusalama wanaamua kufanya uharibu na kuleta huzuni kwa watu wake wenyewe.
Maandamano kwa wengine huwa hayaonekani kama yanavyoonekana kwa wengine.target ya Iran ni kuua majasusi wa kikanada waliopo kwenye ile ndege, hao wairani waliokufa ni collateral damage,
maandamano ni kitu cha kawaida, ufaransa ile yellow vest protest ilidumu kwa miezi zaidi ya 5, Hongkong inakata mwaka sasa na maandamano yao
Maandamano kwa wengine huwa hayaonekani kama yanavyoonekana kwa wengine.
Wangeandamana kukumbuka jeshi la Marekani lilivyopiga ndege ya Iran mwaka 1987 na kuua wairan 290 ningewaelewa
87 tech ilikua kama leo ? Ni aibu 2020 kutungua ndege kimakosa...aibu mkuu [emoji16]
Kosa alilofanya mtu miaka 33 ,ww ndio unalifanya 2020 kweli? Hivyo iran hadi ifike 2053 ndio itakua sophisticated enough na kuacha kufanya hizi errors
Sent using Jamii Forums mobile app