minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Kupeleka mapendekezo kero zote Bungeni na halimashauri kazi ambayo imefanywa vyema na halima mdee ingawa alikuwa akihujumiwa na CCM kwa kiwango cha kutishaKazi ya mbunge sio kusaidia Jimbo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupeleka mapendekezo kero zote Bungeni na halimashauri kazi ambayo imefanywa vyema na halima mdee ingawa alikuwa akihujumiwa na CCM kwa kiwango cha kutishaKazi ya mbunge sio kusaidia Jimbo
Naam sawa kabisa ila tatizo bado tuna wale vilaza wanaoamini zile kampeni za kizamani za kusema ukinichagua mimi nitaleta maji sijui barabara nakadhalikaKupeleka mapendekezo kero zote Bungeni na halimashauri kazi ambayo imefanywa vyema na halima mdee ingawa alikuwa akihujumiwa na CCM kwa kiwango cha kutisha
Hujajibu swali nilikokuuliza naona unarukauka tu,maana hata huyo Mdee hawezi kujitetea kama utetezi unatoa wewe hapa.Sio Halima Mdee tu kwa hakika hatuna kitu walau kiinachokaribia na kuitwa bunge. Hata Bunge la Somalia haliwezi au basi naona nisije kukukorofisha ukakasirika bure
Kuna tofauti sana kati ya logic na emotion. Na nadhani kinyume na majibu uliyonayo tayari, basi hakuna yeyote anayeweza kukujibu hapa duniani. Nadhani tuishie hapa. Nikirudi Bongo nipe ruhusa nikutafute kama wewe sio gwajimaHujajibu swali nilikokuuliza naona unarukauka tu,maana hata huyo Mdee hawezi kujitetea kama utetezi unatoa wewe hapa.
Vibaraka wa gwaji naona mmeshatoka kanisaniKwenye hili siwez kumtetea kabisa halima japo namkubali
Hapa halima kafeli saaana yaan kazingua
Na anafanya kura tumpe gwajiboy
Wabunge wanaotoka nje na kususia vikao wanapata wapi nafasi za kuwasilisha, kufuatilia na kusimamia mahitaji ya wananchi wao?Watanzania wote wanajua kuwa Magufuli hapeleki pesa kwa Majimbo ya wapinzani ....!!
Watu wanahoji uwajibikaji wa mbunge kwa wapiga kura wake,wewe unaleta habari za bunge kutokuwa huru. Ina maana huyo Mdee ameshindwa kuwakilisha huko bungeni matatizo ya kwenye jimbo lake sababu ya bunge kutokuwa huru?Kuna tofauti sana kati ya logic na emotion. Na nadhani kinyume na majibu uliyonayo tayari, basi hakuna yeyote anayeweza kukujibu hapa duniani. Nadhani tuishie hapa. Nikirudi Bongo nipe ruhusa nikutafute kama wewe sio gwajima
Sasa kama yeye hakusanyi kodi hivyo hatupaswi kumlaumu,sasa alitaka watu wamchague ili aende bungeni kufanya nini?maana watu wamemchagua ili akawawakilishe huko bungeni ila hilo ameshindwa halafu zinakuja hoja za kwamba yeye hakusanyi kodi.Halima Mdee ndio anakusanya kodi ? Tumia akili hata za mbuzi kuvukia barabara kuelewa .
Unajua mwanzisha uzi na hao waliojitokeza faster kuchangia ni misukule iliyofufuliwa na mzee wa ufufuo na uzima?Watanzania wote wanajua kuwa Magufuli hapeleki pesa kwa Majimbo ya wapinzani ....!!
Waumini aliowaambia nimenunua treni wanashangilia?Unachokosea mtoa mada ni kwamba huwajui wanakawe kabisaaaa. Pamoja na jitihada zote ulizozifanya na comments nyingi zinaonekana kaandika mtu mmoja, lakini sisi wanakawe tunajua sana kuwa mbunge wala hana uwezo wa kujenga barabara na ndio maana barabara zinajengwa na serikali kwakuwa ndo inayokusanya kodi. Kampeni kama hizi zinawafaa sana wale waumini wa Gwajima wanaoamini mchungaji wao anfufua watu hata hivyo bahati mbaya sana waumini wale asilimia kubwa hawatoki jimbo hili mzee. Wanatoka hukohuko Gongo la mboto
Huyo porn star GwajimaAisee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mbona karibu wote mliochangia humu mawazo na hoja zenu ni ya aina moja ?? Kuna namna sio bure[emoji124][emoji124][emoji124]
Nadhani hujanielewa kabisaa. Nimesema tuishie hapo hapoWatu wanahoji uwajibikaji wa mbunge kwa wapiga kura wake,wewe unaleta habari za bunge kutokuwa huru. Ina maana huyo Mdee ameshindwa kuwakilisha huko bungeni matatizo ya kwenye jimbo lake sababu ya bunge kutokuwa huru?
Sasa hayo aliyoyaorodhesha Mdee kwenye kitabu kuwa ameyafanya kwenye jimbo lake ameweza vp kuyafanya?
Wale ni misukule originalWaumini aliowaambia nimenunua treni wanashangilia?
Kweli aisee kuna watu akili zao mbuzi ana afadhaliHalima Mdee ndio anakusanya kodi ? Tumia akili hata za mbuzi kuvukia barabara kuelewa .
Wewe ndio hujaelewa hii mada iliyopo kwenye huu uzi ndio maana ukawa unaleta mengine kabisa.Nadhani hujanielewa kabisaa. Nimesema tuishie hapo hapo
Wana jamvi, nawasalimu mchana huu na hongera kwa majukumu ya kulijenga Taifa letu pendwa.
Nimefanikiwa kusoma kitabu cha Halima Mdee mbunge aliyemaliza muda wake wa Jimbo la Kawe kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Kitabu chenye title TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA JIMBO LA KAWE 2015-2020, kitabu hiki kimejaa kona nyingi sana na giza nyingi kuanzia mwanzo mpaka mwisho wake. Kuna utekelezaji hewa, fedha zilizoelekezwa hazihakisi kabisa uhalisia wa kile kilichofanyika pamoja na miradi ya kusadikika.
Nina uhakika kabisa mtu aliyemshauri Halima Mdee kuandaa kitabu hicho alijua kuwa hajafanya chochote na ndio njia ya kumuonesha kwa wananchi wamjue tunapoelekea kwenye uchaguzi; asante sana muandaaji na mshauri kwa kutuokoa na kirusi hiki tulichoishi nacho kwa miaka 10.
Kelele nyingi zinazopigwa na Wabunge wa upinzani zinaonekana kuwa za kweli lakini kama utekelezaji ni wa namna hii, basi huenda wapinzani wakawa ni hatari sana kuliko mtu yeyote yule.
Namalizia summary ya kitabu hiki na nitaileta kwenu moja kwa moja
Mzalendo wa Kweli
Kawe-Mikoroshini