Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Ha ha ha hawakumuona na ile suti yake Kali pembeni ya Hassan Ngoma.Unadhani Nyalandu alikuwa anafanya nini pale Clouds tv leo asubuhi?!
Sio kweli mwenyekiti wa Ccm hukaa na Cc ya Nec kuangalia namna sifa za wagombea kura za moni walivyoshinda na uadilifu wao. Unaweza kuwa namba moja lakini sio muadilifu wakakukata.Kura za maoni zipo kufuata formalities tu, lakini majina tayari anayo mwenyekiti.
Na kweli akae kimya kwani hajui kitu..Wewe Morogoro huijui kaa kimya
Hiyo ni imani,hatubishanii hayo kwi kwi kwi USIAMINI NIKIAMINICHO....Tetete unaenda mbingu ipi? zipo 9
Safari njema mkuuHiyo ni imani,hatubishanii hayo kwi kwi kwi USIAMINI NIKIAMINICHO....
Mimi nitafufuliwa nikiwa na ujana huuhuu.
Obama said LIFE BEINGS AT FORTY kalaghabaho!Sasa huyu Mzee anavyojiita Kijana anataka sisi Tuitwe Watoto ama?
Hii siyo fair kabisa, kila mtu ajitambulishe kwa Umri wake bana..
Angesema tu "Mimi ni Mzee wenu kabisa"
Zimeanza kwa sisi ccm tuKumbe kampeni zimeanza!!
Asante Kaka,unaponitakia heri hyo njia panda...kanuni ni kuwa heri yako hiyo inanipeleka nyumbani kwa mke wangu,nawe kwako 😀😀😀Safari njema mkuu
Watamchagua kwanza halafu baadaye ndiyo atapigiwa kura za maoni akiwa tayari ameshakuwa MbungeAsipopita kwenye kura za maoni itakuwaje?
Kuna Uhusiano gani Wa huyo JuaLikali na Kilosa?Baada huyu domo kaya kuropoka sana kuhusu CHADEMA chama kilicho mpa exposure na juzi kurudi Ccm akidhani ata simama tena Kilosa kwa tiketi ya Ccm sasa mwana Diplomasia na nguli wa sheria kipenzi cha mzee baba ametangaza kuwania ubunge kupitia jimbo la Kilosa. Mh. Kabudi kwa vyovyote vile lazima Ccm watampa bendera kuipeperusha. Sasa domo kaya atafute kazi kufagia ofisi.
Ndio maana wahenga walisema uwe na maneno ya akiba mdomoni
Hii ni kwa yeye tu au watafanyiwa wote tz nzima?Watamchagua kwanza halafu baadaye ndiyo atapigiwa kura za maoni akiwa tayari ameshakuwa Mbunge
Zimeanza kwa sisi ccm tu
Ha ha ha ndio wale wanaotawaza KABLA ya K...A.Kuna Uhusiano gani Wa huyo JuaLikali na Kilosa?
.....kwa kila Yule mwenye credentials "aila" ya prof.P.A.M.Kabudi!!!Hii ni kwa yeye tu au watafanyiwa wote tz nzima?
Asipopita kwenye kura za maoni itakuwaje?
Kutosheka na kutokuwa na tamaa wale wote walio serikalini na majeshini...Prof.Kabudi ni "mbunge wa kuteuliwa" Ana jukumu la kugombea ubunge ili km akishinda na ikimpendeza mh.rais bx aendelee kuhudumu wizarani.Hahah!
Katiba ya CCM ya sasa hujaisoma na juzi hukusikiliza hotuba ya Malaika akiwaasa watu kutosheka na kutokuwa na tamaa.
Amekunywa faru John ile hatimiliki ya mh.mwenyekiti😀😀Hujui hata Jimbo alilokua nalo