Uchaguzi 2020 Wananchi wa Kimamba wamhakikishia Rais Magufuli kwamba watamchagua Profesa Kabudi kuwa Mbunge wao. Atangaza nia

Uchaguzi 2020 Wananchi wa Kimamba wamhakikishia Rais Magufuli kwamba watamchagua Profesa Kabudi kuwa Mbunge wao. Atangaza nia

Sasa huyu Mzee anavyojiita Kijana anataka sisi Tuitwe Watoto ama?

Hii siyo fair kabisa, kila mtu ajitambulishe kwa Umri wake bana..

Angesema tu "Mimi ni Mzee wenu kabisa"
Obama said LIFE BEINGS AT FORTY kalaghabaho!
 
Baada huyu domo kaya kuropoka sana kuhusu CHADEMA chama kilicho mpa exposure na juzi kurudi Ccm akidhani ata simama tena Kilosa kwa tiketi ya Ccm sasa mwana Diplomasia na nguli wa sheria kipenzi cha mzee baba ametangaza kuwania ubunge kupitia jimbo la Kilosa. Mh. Kabudi kwa vyovyote vile lazima Ccm watampa bendera kuipeperusha. Sasa domo kaya atafute kazi kufagia ofisi.
Ndio maana wahenga walisema uwe na maneno ya akiba mdomoni
Kuna Uhusiano gani Wa huyo JuaLikali na Kilosa?
 
Hahah!
Katiba ya CCM ya sasa hujaisoma na juzi hukusikiliza hotuba ya Malaika akiwaasa watu kutosheka na kutokuwa na tamaa.
Kutosheka na kutokuwa na tamaa wale wote walio serikalini na majeshini...Prof.Kabudi ni "mbunge wa kuteuliwa" Ana jukumu la kugombea ubunge ili km akishinda na ikimpendeza mh.rais bx aendelee kuhudumu wizarani.
 
Back
Top Bottom