Uchaguzi 2020 Wananchi wa Kimamba wamhakikishia Rais Magufuli kwamba watamchagua Profesa Kabudi kuwa Mbunge wao. Atangaza nia

Hii ni kwa yeye tu au watafanyiwa wote tz nzima?
Hilo jibu linamhusu aliyeuliza swali tu kwa sababu inaonyesha hajui nini huwa kinatokea mtu asipopita kwenye kura za maoni. Au na wewe pia hujui? Nina imani wewe unajua, ndiyo maana nikasema hili jibu haliwahusu wengine isipokuwa yule aliyeuliza swali tu!
 
Ni nani mbunge aliepo ?Kabudi ataweza sarakasi za kampeni ?Anaonekana mchovu asije akapoteza maisha bure kisa homa ya papasi.
 
Kumbe kabudi kwao kimamba,Kimamba ni moja ya eneo la kifala Sana.Lina jina kubwa lakini ukifika utashangaa.Halafu mbunge wa maeneo Yale nadhani ni mwarabu.
Ni pale kwenye majengo ya kale? Huo mji ulikaliwa na waarabu au wahindi zamani???

California love
 
Yani Morogoro Ile inatakiwa iamke,mi nimechoka maeneo Yale na vijiji jirani Mara kadhaa.Imagine kukosa Mjini Hakuna lami mpaka Sasa,imeishia Rudewa pale,sijajua labda miaka hii miwili Kama wameifikisha like Mjini.
kilosa.ni moja ya wilaya za zamani Sana hapa nchini na zenye sifa kubwa,lakini ziko nyuma Sana kwa sababu ya kukosa wawakilishi imara
 
Ni pale kwenye majengo ya kale? Huo mji ulikaliwa na waarabu au wahindi zamani???

California love
Sijajua Kama ni wajerumani au waingereza nadhani wakati wanalima mkonge Ndio walikuwa wanakaa pale.Pia hata waarabu huenda wamekaa pale maana pia waarabuwaswalihi wengi Sana kilosa
 
Kilosa ni ya Palamagamba Kabudi naomba kama kuna mtu anataka kwenda kupambana nae kwa kweli atapoteza tu mda.
 
Sijajua Kama ni wajerumani au waingereza nadhani wakati wanalima mkonge Ndio walikuwa wanakaa pale.Pia hata waarabu huenda wamekaa pale maana pia waarabuwaswalihi wengi Sana kilosa
Ok Asante nitapatembelea tena,nilipita mwaka Jana nilikuwa naenda kilosa kwenye camp ya SGR,nikavutiwa na huo mji ,majengo ya zamani

California love
 
Asipopita kwenye kura za maoni itakuwaje?
Nguvu... Umesahau bwana mkubwa alisikika akisema kutegemeana na atakavyoamka anaweza pitisha hata mtu wa nne kwenye kura za maoni ili kuwa mgombea wa ubunge kwa chama Chao???
 
Ni nani mbunge aliepo ?Kabudi ataweza sarakasi za kampeni ?Anaonekana mchovu asije akapoteza maisha bure kisa homa ya papasi.
Kwa mapokezi ya leo pale HADHARANI...
Kwa nondo alizotema pale JUKWAANI...
Na nijuavyo ubora wa ushawishi na kipaji kikubwa cha uumbaji maneno katika muktadha wa Kasi ya maendeleo wa mh.jpm,akipenya CC bx mapeemaa JIMBO KALICHUKUA.
Mwenyezi Mungu amsaidie zealout son of Tanzania prof P.A.M Kabudi aaamen aaamen
 
CDM wananchi wanapendekeza, mwenyekiti anasema sumu haionjwi kwa ulimi.
Haha ha ha mh.Sumaye haraka akaliepusha "bawa" lake....
Karibuni chupa kubwa ya FARU JOHN ile HATIMILIKI ya mh.mwenyekiti😄
 
Nguvu... Umesahau bwana mkubwa alisikika akisema kutegemeana na atakavyoamka anaweza pitisha hata mtu wa nne kwenye kura za maoni ili kuwa mgombea wa ubunge kwa chama Chao???
Mh.ni mwalimu na mtu wa kupenda utani,huyaumba maneno ili AFIKIRISHE hadhira.
 
Jana kwny Tv nilimuona Waziri wa Fedha Philip akikagua Dispensary huko kwao kigoma jimbo linaitwa buhigwa(kama sijakosea) nikajua tayari ndio nia imeshatangazwa hapo.
Mbona alitangaza siku akisoma bajeti, na ndani ya siku chache mbunge wa Buhigwa anayejiita Obama, akajibu kwa uyonge bungeni kuwa Buhigwa bado wanaimani naye.
 
Kumbe kampeni zimeanza!!
Duh swali gani hili Salary Slip? CCM ya awamu ya Tano ilianza kampeni baada tu ya mwenyekiti wake kuchaguliwa kuwa Rais. Tangu Magufuli aingie madarakani kila siku ni kampeni tu!
 
"Mimi kijana wenu"

Kwenye kampeni hata mzee atataka kujiita kijana, very funny!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…