johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #81
Hahahaaaa........!Amekunywa faru John ile hatimiliki ya mh.mwenyekiti😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa........!Amekunywa faru John ile hatimiliki ya mh.mwenyekiti😀😀
Hilo jibu linamhusu aliyeuliza swali tu kwa sababu inaonyesha hajui nini huwa kinatokea mtu asipopita kwenye kura za maoni. Au na wewe pia hujui? Nina imani wewe unajua, ndiyo maana nikasema hili jibu haliwahusu wengine isipokuwa yule aliyeuliza swali tu!Hii ni kwa yeye tu au watafanyiwa wote tz nzima?
CDM wananchi wanapendekeza, mwenyekiti anasema sumu haionjwi kwa ulimi.CCM raha sana, wananchi wanapendekeza chama kinapitisha
Kumbe kabudi kwao kimamba,Kimamba ni moja ya eneo la kifala Sana.Lina jina kubwa lakini ukifika utashangaa.Halafu mbunge wa maeneo Yale nadhani ni mwarabu.
Kimamba na Kilosa ni maeneo yenye sifa moja! Ingawa nami nimezaliwa huko, nilikataa ubongolala wao niliamua kuanza life huku kanda ya ziwa kwake na malaika.
Ni pale kwenye majengo ya kale? Huo mji ulikaliwa na waarabu au wahindi zamani???Kumbe kabudi kwao kimamba,Kimamba ni moja ya eneo la kifala Sana.Lina jina kubwa lakini ukifika utashangaa.Halafu mbunge wa maeneo Yale nadhani ni mwarabu.
Sijajua Kama ni wajerumani au waingereza nadhani wakati wanalima mkonge Ndio walikuwa wanakaa pale.Pia hata waarabu huenda wamekaa pale maana pia waarabuwaswalihi wengi Sana kilosaNi pale kwenye majengo ya kale? Huo mji ulikaliwa na waarabu au wahindi zamani???
California love
Ok Asante nitapatembelea tena,nilipita mwaka Jana nilikuwa naenda kilosa kwenye camp ya SGR,nikavutiwa na huo mji ,majengo ya zamaniSijajua Kama ni wajerumani au waingereza nadhani wakati wanalima mkonge Ndio walikuwa wanakaa pale.Pia hata waarabu huenda wamekaa pale maana pia waarabuwaswalihi wengi Sana kilosa
Nguvu... Umesahau bwana mkubwa alisikika akisema kutegemeana na atakavyoamka anaweza pitisha hata mtu wa nne kwenye kura za maoni ili kuwa mgombea wa ubunge kwa chama Chao???Asipopita kwenye kura za maoni itakuwaje?
Kwa mapokezi ya leo pale HADHARANI...Ni nani mbunge aliepo ?Kabudi ataweza sarakasi za kampeni ?Anaonekana mchovu asije akapoteza maisha bure kisa homa ya papasi.
Haha ha ha mh.Sumaye haraka akaliepusha "bawa" lake....CDM wananchi wanapendekeza, mwenyekiti anasema sumu haionjwi kwa ulimi.
Mh.ni mwalimu na mtu wa kupenda utani,huyaumba maneno ili AFIKIRISHE hadhira.Nguvu... Umesahau bwana mkubwa alisikika akisema kutegemeana na atakavyoamka anaweza pitisha hata mtu wa nne kwenye kura za maoni ili kuwa mgombea wa ubunge kwa chama Chao???
Mbona alitangaza siku akisoma bajeti, na ndani ya siku chache mbunge wa Buhigwa anayejiita Obama, akajibu kwa uyonge bungeni kuwa Buhigwa bado wanaimani naye.Jana kwny Tv nilimuona Waziri wa Fedha Philip akikagua Dispensary huko kwao kigoma jimbo linaitwa buhigwa(kama sijakosea) nikajua tayari ndio nia imeshatangazwa hapo.
Duh swali gani hili Salary Slip? CCM ya awamu ya Tano ilianza kampeni baada tu ya mwenyekiti wake kuchaguliwa kuwa Rais. Tangu Magufuli aingie madarakani kila siku ni kampeni tu!Kumbe kampeni zimeanza!!
Kwahiyo na Mnyika au Mdee wangeenda Moshi. Hapa Dar agombee Kingwendu na wenzake.