Wananchi wa Kongwa wamkataa mbunge wao Job Ndugai, wamwambia Rais Magufuli asimtume kusikiliza kero zao

Wananchi wa Kongwa wamkataa mbunge wao Job Ndugai, wamwambia Rais Magufuli asimtume kusikiliza kero zao

Mbona ya mwaka 47?
Lakini ni ya kipindi Magufuli ni rais kwa hiyo ni awamu hii.

Hapo ni aibu kubwa sana kuwa wananchi hawakutaki, na kama ni kwa wastaarabu unaachia ngazi kwa roho nyeupe tuu.
Ndio maana jamaa lina roho mbaya, fitina, wivu na majungu kama mchawi vile! Kukataliwa kwa aina hiyo ni hatari kwa afya ya binadamu.

Maana hapo huwezi sema watu wamepangwa kufanya hivyo mbele ya Raisi.
Ngoja muda uishe ana mengi ya kujibu
 
G Sam,

Wagogo jasiri tunaowafahamu wanaanza kuamka hawataki aibu ya Mbunge wao kupokea maagizo toka juu kama kisaragosi. Hao ndo wafuasi wa Mtemi Mazengo ambaye hata wakoloni walimheshimu na kumuenzi. Ndugai ahamie Usukumani labda huko akiomba ubunge atapata lakini Kongwa hata kwa hengo hatapata. Bloody weakling, serves him right!
 
Kudadeeeeekiiiii hili liwe ni fundisho kwa Ndugai kuwa mtanzania wa sasa siyo mbumbumbu wa miaka ya 60
 
Back
Top Bottom