Kwa kweli, Ubunge si hati miliki ya mtu.Kwa Ndugai akili yake kidogo haipo vizuri kwa sasa.Na hii inadhihirishwa na Jinsi alivyoendesha bunge letu kwa ubabaishaji mkubwa....Wananchi wamstaafishe kwa Lazima
Wagogo ukiwapa kinywaji siku saba na ngoma wanasahau shida zao zote za miaka mitano!! wababa wape kinywaji na kofia zimeandikwa chagua mgogo, wamama vitenge vilemba na kinywaji kazi imekwisha!!!
Lakini ni ya kipindi Magufuli ni rais kwa hiyo ni awamu hii.
Hapo ni aibu kubwa sana kuwa wananchi hawakutaki, na kama ni kwa wastaarabu unaachia ngazi kwa roho nyeupe tuu.
Ndio maana jamaa lina roho mbaya, fitina, wivu na majungu kama mchawi vile! Kukataliwa kwa aina hiyo ni hatari kwa afya ya binadamu.
Maana hapo huwezi sema watu wamepangwa kufanya hivyo mbele ya Raisi.
Ngoja muda uishe ana mengi ya kujibu
Wagogo jasiri tunaowafahamu wanaanza kuamka hawataki aibu ya Mbunge wao kupokea maagizo toka juu kama kisaragosi. Hao ndo wafuasi wa Mtemi Mazengo ambaye hata wakoloni walimheshimu na kumuenzi. Ndugai ahamie Usukumani labda huko akiomba ubunge atapata lakini Kongwa hata kwa hengo hatapata. Bloody weakling, serves him right!