Wananchi wa Magu wamesusia Mkutano wa CCM pamoja na pesa nyingi kutolewa kukusanya watu

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Hii ndo inaitwa aibu utaona wewe😂😂😂

Wananchi wa Wilaya ya Magu wamesusia Mkutano wa CCM pamoja na pesa nyingi kutolewa kukusanya watu. Inadaiwa walibomoa soko wakidai wanajenga upya lakini mpaka sasa hakuna muelekeo jambo lilofanya wananchi kususia mkutano uliondaliwa.

ok. :1Head:
 
Wasivyo na aibu wao wamejiwekea jukwaa la kujikinga na mvua halafu wananchi wakakae juani kusikiliza uongo wao aibu utaona wewe.
 
Back
Top Bottom