Wananchi wa Mbezi juu, Baraza la Mitihani hawana maji mwezi sasa

Joined
Feb 23, 2023
Posts
77
Reaction score
77
Wananchi wa Mbezi Juu, Baraza la Mitihani wanalalamika sasa ni mwezi hawajaona maji, inabidi watafute maji mbali kwa magari.

Kwa gharama hii ya maisha hamuoni ni mzigo mwingine?

Kama Dar inakuwa hivi huko vijijini je?
 
Poleni . shukeni hapo chini mitaa ya makonde maji yapo
 
Mna shida gani mmerudia tena na nyie ndo mnafanya biashara mnauza maji kwa gari lenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…