LGE2024 Wananchi wa Mwanza wagoma kutawanyika, wamsindikiza Lissu na Pambalu hotelini walikofikia

LGE2024 Wananchi wa Mwanza wagoma kutawanyika, wamsindikiza Lissu na Pambalu hotelini walikofikia

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Ni swala tu la wananchi kujuwa sheria, na HAKI zao, basi.
Kila kitu kitanyooka baada ya hapo.

Polisi na mabwana zao wanatumia utoelewa wa haki zao, ndiyo maana polisi wanajitungia tu sheria mitaani na kuwasumbua wananchi.

Uzuri wa haya mambo ni kwamba mifano ya aina hii ikisha onekana sehemu mbalimbali, hiyo inatosha kuwapa ujasiri na wengine maeneo mbalimbali ya nchi.

Taratibu, CCM watasalimu amri tu, hakuna namna nyingine tena.
 
CCM wana wanasiasa wa fomu, CHADEMA wana umma upande wao. Wananchi waonesha imani kwa CHADEMA na viongozi wao jijini Mwanza.
Palikuwepo na "Simba wa Kizimkazi" eneo hilo la Mwanza leo?

Hizi ni dalili za yajayo kuelekea 2025,; bila shaka!
 
CCM wanasema CHADEMA iliishakufa. Huu uchaguzi ni litimus test kwao, wanaangalia kwa macho 100. Wanampima kinyogoli wao je atatosha dhidi ya Simba wa kizimkazi?
Ukweli ni kwamba hawezi, ndio maana unaoana majeshi ya ccm yako kazini kudhibiti chadema na watu wake.
 
Ni swala tu la wananchi kujuwa sheria, na HAKI zao, basi.
Kila kitu kitanyooka baada ya hapo.

Polisi na mabwana zao wanatumia utoelewa wa haki zao, ndiyo maana polisi wanajitungia tu sheria mitaani na kuwasumbua wananchi.

Uzuri wa haya mambo ni kwamba mifano ya aina hii ikisha onekana sehemu mbalimbali, hiyo inatosha kuwapa ujasiri na wengine maeneo mbalimbali ya nchi.

Taratibu, CCM watasalimu amri tu, hakuna namna nyingine tena.
Mkuu shida sio wafuasi, shida ipo kwa viongozi basi!!! Kati ya viongozi wawili wa upinzani mmoja huwa yupo kwa payroll ya mamlaka.

Mkuu usiwaone mishipa inawapanda, wanatimiza ratiba na kuwachora wafuasi wao tu!!!
 
Wananchi wa Mwanza wagoma kutawanyika baada ya Tundu Lissu na John Pambalu kumaliza mkutano, wawasindikiza Lissu na Pambalu kwa maandamano hadi hotelini walikofikia, Pambalu atoa neno la shukrani.

hawana impacts yoyote ile kisiasa eneo lolote nchini,

kijana ni mtovu wa nidhamu wa kutupwa, na huyo kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi hata kumkamata inatia kinyaa achilia mbali huruma..

inshort ni wakupuuzwa tu coz hamna kitu ya maana wanaweza kufanya 🐒
 
Kwa Mwanza nyomi bado ni dogo sana kuitetemesha CCM...

CDam wapambane kuongeza ushawishi...
 
Upo njee ya Mada.

Back
Top Bottom