Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Palikuwepo na "Simba wa Kizimkazi" eneo hilo la Mwanza leo?CCM wana wanasiasa wa fomu, CHADEMA wana umma upande wao. Wananchi waonesha imani kwa CHADEMA na viongozi wao jijini Mwanza.
Mkuu shida sio wafuasi, shida ipo kwa viongozi basi!!! Kati ya viongozi wawili wa upinzani mmoja huwa yupo kwa payroll ya mamlaka.Ni swala tu la wananchi kujuwa sheria, na HAKI zao, basi.
Kila kitu kitanyooka baada ya hapo.
Polisi na mabwana zao wanatumia utoelewa wa haki zao, ndiyo maana polisi wanajitungia tu sheria mitaani na kuwasumbua wananchi.
Uzuri wa haya mambo ni kwamba mifano ya aina hii ikisha onekana sehemu mbalimbali, hiyo inatosha kuwapa ujasiri na wengine maeneo mbalimbali ya nchi.
Taratibu, CCM watasalimu amri tu, hakuna namna nyingine tena.
🤣 🤣 🤣Palikuwepo na "Simba wa Kizimkazi" eneo hilo la Mwanza leo?
Hizi ni dalili za yajayo kuelekea 2025,; bila shaka!
Mwanza wanajitambua sana!Wananchi wa Mwanza wagoma kutawanyika baada ya Tundu Lissu na John Pambalu kumaliza mkutano, wawasindikiza Lissu na Pambalu kwa maandamano hadi hotelini walikofikia, Pambalu atoa neno la shukrani.
Pambalu mwanae sana johnthebaptist 😄Wananchi wa Mwanza wagoma kutawanyika baada ya Tundu Lissu na John Pambalu kumaliza mkutano, wawasindikiza Lissu na Pambalu kwa maandamano hadi hotelini walikofikia, Pambalu atoa neno la shukrani.
hawana impacts yoyote ile kisiasa eneo lolote nchini,Wananchi wa Mwanza wagoma kutawanyika baada ya Tundu Lissu na John Pambalu kumaliza mkutano, wawasindikiza Lissu na Pambalu kwa maandamano hadi hotelini walikofikia, Pambalu atoa neno la shukrani.
Mkuu shida sio wafuasi, shida ipo kwa viongozi basi!!! Kati ya viongozi wawili wa upinzani mmoja huwa yupo kwa payroll ya mamlaka.
Mkuu usiwaone mishipa inawapanda, wanatimiza ratiba na kuwachora wafuasi wao tu!!!