Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Wananchi wa Shinyanga mjini mkoani humo wameeleza kuwa sababu kubwa zilizowafanya kumdhamini Mgombea wa Urais kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, ni imani yao kuwa atakwenda kuwatatulia kero zao ambazo zimeshindwa kupatiwa majibu kwa muda mrefu.
Wamesema changamoto zinazowakabili ni pamoja na matatizo kwenye zao la pamba, sekta ya mifugo, pamoja na ukosefu wa fursa za kuinua uchumi wao.
Wakizungumza mbele ya Mgombea huyo wakati wa zoezi la udhamini mjini Shinyanga leo Agosti 18, 2025, wananchi wamesisitiza kuwa vilio vyao vimeshindwa kushughulikiwa licha ya juhudi za muda mrefu.