Wananchi wa tabaka la chini wazidi kuonewa na umasikini uliokithiri, huku Viongozi wakiendelea kuishi kihafahari kupitia kodi za walala hoi

Waafrika waliishi maisha bora Sana kabla ya UHURU.

Ajira tele, uhakika wa masoko.

Walipigania UHURU walipigania maslai yao binafsi kupitia hadaa ya wengi,

Ushahidi ni jinsi wao na familia zao wanavyoishi kifahari huku majority ya waafrika wakiishi kimasikini.
 
Dah

Hii hali uanyoiongelea imeanza lini?
 
tatizo sio kupangilia hoja ila uhalisia ni kuwa watanzania Wana hali mbaya ya kiuchumi kutokana na mipango ya hovyo
Then this is true

ILA mchanyato alioujaza pale na personal attack siyo sawa
 
Then this is true

ILA mchanyato alioujaza pale na personal attack siyo sawa
Never personal it’s about the leader compassion attributes.

The woman has none, zaidi ya figisu
 
Ndoto tuliyo nayo kwa sasa ni ya miaka 9, shuruba za walalahoi zitajitatua mbere kwa mbere, wacha nipige gahawa kidogo hapa......
 
Umaskini unauma hasa unapokuwa umesomesha ajira na teuzi wanajipa wenyewe.

Unafikiri teuzi zitatosha kwa watanzania woote, na bado wewe ukiteuliwa na mimi nitalalamika teuzi sizipati... Kila jambo duniani lazima liwe na chanzo au connection ya kupatikana kwake, cha muhimu mifumo iwe strong kila anayekaa awe na vigezo vya kukaa hapo na michakato iliyowekwa ifuatwe..
 
πŸ‘‡πŸ˜πŸ˜πŸ˜
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…