Wananchi wa Tanzania wanahitaji hamasa kubwa katika kujituma kutafuta hela halali na kuacha uvivu

Tabora, Sigida kondoa na sehumu mwanza mjini pia ni pwani? Mbona hao wa vivu wamejaa tangu asubuhi iko kijueni anapiga zogo jioni anaomba 300 ya kuendea nyumbani kwake, Tanzania ilisha haribika na sissa za ujamaa.
Hatari sana... kwahiyo hili ni tatizo la kitaifa sio
 
Ndiyo na nyie mjifunze muwe na skills syo lazima kila kitu umuite mtu

Ova
Kuna ujuzi mwingine unatumia nguvu na sio maarifa pekee. Mfano kujenga, kuchimba mashimo, visima, kulima shamba nk.

Kwenye ujuzi unaotegemea maarifa pekee na nguvu kidogo, binafsi huwa sitegemei watu. Labda mazingira yanibane. Mfano kupika, huwezi kunikuta nakaa njaa eti kisa hayupo wa kunipikia.

Isipokuwa ule unaotumia nguvu nyingi si kila mtu anaweza. Ndio maana tunategemeana according to Plato social classes
 
Mimi nguvu maarifa kote natumia tu...
Sina muda wa kumbembeleza mtu

Ova
 
Back
Top Bottom