Kuna ujuzi mwingine unatumia nguvu na sio maarifa pekee. Mfano kujenga, kuchimba mashimo, visima, kulima shamba nk.
Kwenye ujuzi unaotegemea maarifa pekee na nguvu kidogo, binafsi huwa sitegemei watu. Labda mazingira yanibane. Mfano kupika, huwezi kunikuta nakaa njaa eti kisa hayupo wa kunipikia.
Isipokuwa ule unaotumia nguvu nyingi si kila mtu anaweza. Ndio maana tunategemeana according to Plato social classes