Wananchi wa Tegeta "A" waandamana hadi ofisi za serikali za mitaa kupinga Ongezeko la nauli kutoka 500 hadi 1,000

Halafu utakuta kati ya walioandamana wakati kampeni zitakapoanza kuna kenge wachache au wote watakaoimba ule wimbo wa tunamshukuru mama, mitano tena, twende na mama, nishati safi ya kupikia, CCM mbele kwa mbele n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…