PreGE2025 Wananchi wa Tungi, Mororgoro waeleza kuwa hawana shida ya maji baada ya kujengewa kisima na mbunge wao Abdulaziz Abood

PreGE2025 Wananchi wa Tungi, Mororgoro waeleza kuwa hawana shida ya maji baada ya kujengewa kisima na mbunge wao Abdulaziz Abood

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
BAADHI ya wakazi wa Kata ya Tungi katika Manispaa ya Morogoro wameeleza namna kisima cha maji kilichojengwa kwa ufadhili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo, Abdulaziz Abood, kilivyokuwa mkombozi wa huduma ya maji katika eneo hilo.

Wameyasema hayo leo Julai 5, 2025 kwa nyakati tofauti kufuatia taarifa zilizoibuka mitandaoni hivi karibuni zikidai kuwa kisima hicho hakijawahi kutoa maji tangu kuzinduliwa, madai ambayo wakazi hao wameyataja kuwa ni ya kupotosha na yasiyo na ukweli wowote.
 
Kwahiyo hapo serikali haipo hadi watu binafsi wasaidie visima!
 
Wameyasema hayo leo Julai 5, 2025 kwa nyakati tofauti kufuatia taarifa zilizoibuka mitandaoni hivi karibuni zikidai kuwa kisima hicho hakijawahi kutoa maji tangu kuzinduliwa, madai ambayo wakazi hao wameyataja kuwa ni ya kupotosha na yasiyo na ukweli wowote.
Hao wakazi ni wanafiki, majuzi tu walisema hawana maji wanategemea mto kwenye daraja la SGR wenye maji taka kutoka viwandani
 
Nchi na wananchi wake wamelaaniwa hii ni almost 70 percent ya watz
 
Back
Top Bottom