KERO Wananchi wa Ubungo hatuna maji miezi 3 sasa!!

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Ubungo ipi babu acha kugeneralize
Ubungo msewe
Ubungo riverside
Ubungo maji
Ubungo kibangu
Ubungo Tbl pale
Ubungo kule wapemba?
Ubungo relini?
 
Poleni sana na Mwaka huu mtapata cha moto zaidi maana hakuna mvua ya kutosha

Wakati Serikali inasema watutoze miamala ya simu Ili wajenge maji Vijijini mlikuwa wa kwanza kutukana.

Shida ya miezi 3 tuu mnataka kufa Je sisi wa Vijijini ambao hatujawahi ona Bomba la maji la serikali tusemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…