Wananchi wa Ukraine wajazana barabarani kuzuia misafara ya Urusi, waamua kujitoa mhanga kutetea bendera yao

Kadiri Urusi inashindwa kuteka Kiev ndio wananchi wanapata ujasiri na kuwa sugu.

Putin ana shida maana itabidi aue hadi wananchi kwenye nchi yao...

Wajasiri..... Mungu awatie nguvu.....Wanaume wa Tanzania tungeona vumbi tu.
 
Kuanzia jana jioni, ulizia namna wanavyoshughulikiwa na majeshi ya Russia. ....! Pia ulizia raia wa Kiev wanaichukuliaje serikali ya mji huo na viongozi wa nchi hiyo. Wewe uliza tu utapata majibu!
Tumuulize Nani Sasa?wewe si uelezee hapa...
 
Kuanzia jana jioni, ulizia namna wanavyoshughulikiwa na majeshi ya Russia. ....! Pia ulizia raia wa Kiev wanaichukuliaje serikali ya mji huo na viongozi wa nchi hiyo. Wewe uliza tu utapata majibu!
Aulizwe nani mbona unakaza mdomo wa juu tu,
Lete vyanzo vya habari hapa Kiev wanaichukuliaje serikali yao, dunia ipo wazi sana mwenzako kaeka picha kuonyesha ukrain wanavyojali nchi yao
 
Kuanzia jana jioni, ulizia namna wanavyoshughulikiwa na majeshi ya Russia. ....! Pia ulizia raia wa Kiev wanaichukuliaje serikali ya mji huo na viongozi wa nchi hiyo. Wewe uliza tu utapata majibu!
Ungetuambia tu boss......hatuna wa kumuuliza hayo maswali.
 
Kuanzia jana jioni, ulizia namna wanavyoshughulikiwa na majeshi ya Russia. ....! Pia ulizia raia wa Kiev wanaichukuliaje serikali ya mji huo na viongozi wa nchi hiyo. Wewe uliza tu utapata majibu!
Tuulinze kwa nani sasa. Ww ungeelezea sasa
 
Ukraine wanaendelea kushinda Vita mitandaoni na kwenye Mainstream Media.. lakini warusi wanaendelea kutengeneza jangwa kimyakimya kwenye miji ya Ukraine
 
Back
Top Bottom