Labda broda eleza kwa umakini zaidi..wamemvamia na kumfanyaje?..je wamempiga au kumzomea au kumvamiaje, na kwamba wakati huo alikuwa ofisini au nyumbani kwake?...!Mbunge wa CCM Mchungaji Mwanjale [ aliwahi kupata ubunge kwa ujanja katika uchaguzi mdogo miaka ya nyuma] amevamiwa na wananchi wenye hasira baada ya kuhonga tume ya uchaguzi, na kumfanya ashinde kwa kuchakachua, Shitambala mgombea wa CHADEMA ndiye aliyeshinda ki uhalali ila hakutangazwa na tume. Wananchi hawa wako tayari kurudia uchaguzi kwa gharama zao wenyewe.
Hii ni moja ya sehemu kati ya zile walizomwonyesha Vidole viwili Mama Salma Kikwete.
Mkuu, kamchakachua mtu wa CHADEMA-Sambwee Sitambala!Sawa sawa. mchakachueni hivyo hivyo. Huyo alianza kuchakachua kwenye kura za maoni kwa kumpiga chini mzee wa TAMISEMI na sasa kamchakachua mtu wa NCCR-Mageuzi. Mkate kende zake
mkuu, kamchakachua mtu wa chadema-sambwee sitambala!
Mbunge wa CCM Mchungaji Mwanjale [ aliwahi kupata ubunge kwa ujanja katika uchaguzi mdogo miaka ya nyuma] amevamiwa na wananchi wenye hasira baada ya kuhonga tume ya uchaguzi, na kumfanya ashinde kwa kuchakachua, Shitambala mgombea wa CHADEMA ndiye aliyeshinda ki uhalali ila hakutangazwa na tume. Wananchi hawa wako tayari kurudia uchaguzi kwa gharama zao wenyewe.
Hii ni moja ya sehemu kati ya zile walizomwonyesha Vidole viwili Mama Salma Kikwete.