Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,604
- 5,583
Tandahimba na Mafia pia...:smile-big:Afadhali...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tandahimba na Mafia pia...:smile-big:Afadhali...
Mbunge wa CCM Mchungaji Mwanjale [ aliwahi kupata ubunge kwa ujanja katika uchaguzi mdogo miaka ya nyuma] amevamiwa na wananchi wenye hasira baada ya kuhonga tume ya uchaguzi, na kumfanya ashinde kwa kuchakachua, Shitambala mgombea wa CHADEMA ndiye aliyeshinda ki uhalali ila hakutangazwa na tume. Wananchi hawa wako tayari kurudia uchaguzi kwa gharama zao wenyewe.
Hii ni moja ya sehemu kati ya zile walizomwonyesha Vidole viwili Mama Salma Kikwete.
wamchakachue tu kama alivyochakachua kuraMbunge wa CCM Mchungaji Mwanjale [ aliwahi kupata ubunge kwa ujanja katika uchaguzi mdogo miaka ya nyuma] amevamiwa na wananchi wenye hasira baada ya kuhonga tume ya uchaguzi, na kumfanya ashinde kwa kuchakachua, Shitambala mgombea wa CHADEMA ndiye aliyeshinda ki uhalali ila hakutangazwa na tume. Wananchi hawa wako tayari kurudia uchaguzi kwa gharama zao wenyewe.
Hii ni moja ya sehemu kati ya zile walizomwonyesha Vidole viwili Mama Salma Kikwete.
Hawa nao si wangeenda kimya kimya usiku tuu ona sasa mpaka dola imejuaaaaaaaaaaaaa.
Wanaweza ata kumpiga juju si ni mbeya vijijini
Mi pia nina mashaka kama si mchungaji bandia. Hata Yesu alisema kuna mbwa mwitu wakali ndani ya ngozi ya kondoo.huyo sina uhakika kama ni mchungaji