Elections 2010 Wananchi waamua kumchakachua mbunge aliyeshinda kwa wizi wa kura-mbeya vijijini

I think that is the best way instead of waiting for long process of court, we should do the same to Mahanga and the rest
 


huyo sina uhakika kama ni mchungaji
 
wamchakachue tu kama alivyochakachua kura
 
Hawa nao si wangeenda kimya kimya usiku tuu ona sasa mpaka dola imejuaaaaaaaaaaaaa.
Wanaweza ata kumpiga juju si ni mbeya vijijini

Juju slaa ya mnyonge. Wakubwa wengi ndani ya CCM wanaiogopa kweli kweli.
 
huyo sina uhakika kama ni mchungaji
Mi pia nina mashaka kama si mchungaji bandia. Hata Yesu alisema kuna mbwa mwitu wakali ndani ya ngozi ya kondoo.
Mchungaji wa kweli anatakiwa kupinga wizi hata kama anayefanya hivyo ni mkewe...sasa hii tena.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…