GE2025 Wananchi waaswa kuwa macho dhidi ya wahalifu kipindi cha uchaguzi

GE2025 Wananchi waaswa kuwa macho dhidi ya wahalifu kipindi cha uchaguzi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini Unguja, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Daniel Shilla, amesema licha ya Jeshi la Polisi kuimarisha ulinzi na usalama katika maeneo yote ya Mkoa huo wakati wa zoezi la upigaji kura, pia wananchi wanapaswa kuchukua tahadhari na kudumisha ulinzi jirani ili kuepuka matukio ya kihalifu ambayo yanaweza kujitokeza kutokana na wahalifu kutumia fursa hiyo.

Kamanda Shilla ametoa wito huo Oktoba 23,2025 wakati akizungumza na wananchi wa Mkoa huo na maeneo mbalimbali ya Zanzibar kupitia kituo cha redio cha Zenji Fm..
1761289673134.png
 
Back
Top Bottom