KURA NYINGI KWA LISU-TUPATE MIFUMO BORA ITAYOLETA MAMLAKA KWA WANANCHIInasikitisha sana
Lissu hawezi kuwa Rais. Kwa Sera zipi alizonazo?.KURA NYINGI KWA LISU-TUPATE MIFUMO BORA ITAYOLETA MAMLAKA KWA WANANCHI
FAHAMU KUWA: SERA NI MOJA TU YA MUHIMU WANANCHI TUNAHITAJI KATIBA MPYA HAMNA KITU KINGINE NI HILO TU AMBALO KWA LISU LIKO NJENJE TUNAPATA KIULAIN ...XXM ILISHAKATAA KULETA KATIBA MPYA ILI IENDELEE KUKANDAMIZA WATULissu hawezi kuwa Rais. Kwa Sera zipi alizonazo?.
Nakuhakikishia kama kuna mtu asiyefaa kuwa rais wa nchi yoyote ile duniani ni jiwe.Lissu hawezi kuwa Rais. Kwa Sera zipi alizonazo?.
Katiba mpya - kuanzia na Rasimu ya Warioba - ili wewe mwananchi uwe na uhuru na haki ya kuamua mustakabali wa taifa lako badala ya kukabidhi maamuzi yote kwa mtu mmoja hata kama limeyumba. Mleta mada ameeleza vizuri - wewe mlipa kodi ulipe kodi, kisha anayekusanya aanze kukunyanyasa utafikiri hizo pesa anizitoa mfukoni mwake!!Lissu hawezi kuwa Rais. Kwa Sera zipi alizonazo?.
Wapi mlipa kodi alishawahi kutaka anavyotaka huduma akapewa kwa matakwa yake? Nitajie nchi hata moja?Katiba mpya - kuanzia na Rasimu ya Warioba - ili wewe mwananchi uwe na uhuru na haki ya kuamua mustakabali wa taifa lako badala ya kukabidhi maamuzi yote kwa mtu mmoja hata kama limeyumba. Mleta mada ameeleza vizuri - wewe mlipa kodi ulipe kodi, kisha anayekusanya aanze kukunyanyasa utafikiri hizo pesa anizitoa mfukoni mwake!!
Wapi mlipa kodi alishawahi kutaka anavyotaka huduma akapewa kwa matakwa yake? Nitajie nchi hata moja?
Hizo haki huwa ni za watawala na wana siasa tu.
Kama ingekuwa mtu ukilipa kodi kisha unadai barabara mbovu mtaani kwako ijengwe na wakishindwa unaenda kumtoa huyo kiongozi kabla ya muda wake basi hhakuna kiongozi angebaki kwenye madaraka.
Hujazisikia au unajitoa ufahamu?Lissu hawezi kuwa Rais. Kwa Sera zipi alizonazo?.
Umesahau,Ulaya na Marekani
Umesahau,
Hizi hizi mnazo copy na kuzifanya ziwe zenuLissu hawezi kuwa Rais. Kwa Sera zipi alizonazo?.
WATANZANIA HATUHITAJI MTU 1 KUWA NDIO ANAYEGAWA MAENDELEO KWAN INAWEZA KUTOKEA AKAPENDELEA WAPI PA KUPELEKA MAENDELEO MF MIKOA YA KUSIN NA MAGARIBI IMESAHAULIKA SANA ..WATANZANIA HATUNA SHIDA NA MAENDELEO KIAS HICHO MPAKA KUUZA UHURU WETU KWANA USIRI ULIOPO KWENYE KUENDESHA MAMBO KUNAWEZA KUKASABABISHA MIKOPO MINGI YA KICHINA TUKAWA KOLON LA CHINA..TUNATAKA MIHIMILI 3 IFANYE KAZ KWA USAWA ILI TAIFA LIWE NA HAKI NA MAENDELEO..KILA HALMASHAUR IPANGE BAJET YAKE NA KUJENGA MIUNDOMBINU YAKE SIO KUTEGEMEA MTU 1 NDO AAMUE KULETA AU LA ..NA SASA IMETOKEA TABIA MOJA ANASEMA USIPOFANYA HIV MTAJUTA? KWEL HILI TULIVUMILIE? LISU NDIO CHAGUO BORA KWA SASA>WATANZANIA, tusithubutu kumpa Lissu wa Chadema saccos. Hata hizo kodi hatutaziona zitakapopita. Saccos hawana mpango wa reli ya kisasa,reli haiwezi ishia makutopora.
Hawana mpango wa bwawa la umeme, hawana mpango wa kujenga barabara mpya, hawana mpango wa kujenga meli mpya, hawana mpango wa kutuletea umeme huku Vijijini. Chadema haina Sera wala ilani itakayotupa manufaa kama taifa hivyo watanzania wenzangu tuwatose moja kwa moja.