McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Wakazi wa mtaa wa Maji ya Shamba wilayani Kondoa wameilalamikia KONDUWASA kwa kufunga mita kwenye mradi wa maji walioupata kwa msaada wa wahisani, wakisema mradi huo si wa serikali. Wameitaka mita ziondolewe ili waendelee kupata huduma kwa gharama nafuu.
Mwenyekiti wa mtaa, Emmanuel Jonas, alisema alikataa ufungaji wa mita kwa kuwa wananchi hawakushirikishwa, lakini Afisa Tarafa aliamuru kufungwa kwa nguvu.
Msimamizi wa usambazaji maji wa KONDUWASA, Boniface Mwamkinga, alisema ufungaji wa mita ni utaratibu wa kurahisisha huduma na matengenezo ya miundombinu.