Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Huyo anazungumzia makaburu na mawakala wao. Mabilionea wake. Sio hao Wananchi anaowaweka picha zao za visigino vyenye ukoko.(Sagamba)Sema nyie mko tayari, watu hawajui watakula nini halafu unakuja kusema wanachi wako tayari kumwaga tone moja la maji baharini.
Jana nimeangali mdajala wa TBC Benson Kigaiga, Wasira, Hamad Rashid na Doroth wa ACT ulikuwa ni mjadala bora snBaada ya mivutano ya Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Sheria na Katiba kuhusu Tume ya Uchaguzi kuajiri wafanyakazi wake yenyewe , badala ya kutegemea Makada wa ccm wale Wakurugenzi wa Halmashauri , Tuliamua kufanya Utafiti mdogo mitaani .
Kiukweli Wananchi wanapinga kabisa Wakurugenzi kusimamia uchaguzi , hii ni kwa sababu wakurugenzi hao ni Makada halisi wa CCM na ni Wafia Chama .
Hata hivyo wananchi wameahidi kwamba wako tayari kuchangia mishahara ya Wafanyakazi wapya wa Tume kwa uaminifu kama vile wanavyochangia Mbio za mwenge milele na milele , kwa hiyo visingixio vyovyote vya kukwepa jambo hili kwa sababu ya ukosefu wa fedha havitakubalika .
Kwani sisi siyo wananchi au mumeo pekee ndiyo mwananchi?Sema nyie mko tayari, watu hawajui watakula nini halafu unakuja kusema wanachi wako tayari kumwaga tone moja la maji baharini.
Kama tunavyochangia join the chain vikoba saccos ufipa!Baada ya mivutano ya Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Sheria na Katiba kuhusu Tume ya Uchaguzi kuajiri wafanyakazi wake yenyewe , badala ya kutegemea Makada wa ccm wale Wakurugenzi wa Halmashauri , Tuliamua kufanya Utafiti mdogo mitaani .
Kiukweli Wananchi wanapinga kabisa Wakurugenzi kusimamia uchaguzi , hii ni kwa sababu wakurugenzi hao ni Makada halisi wa CCM na ni Wafia Chama .
Hata hivyo wananchi wameahidi kwamba wako tayari kuchangia mishahara ya Wafanyakazi wapya wa Tume kwa uaminifu kama vile wanavyochangia Mbio za mwenge milele na milele , kwa hiyo visingixio vyovyote vya kukwepa jambo hili kwa sababu ya ukosefu wa fedha havitakubalika .
Kwani wananchi wako chama gani ?Yatakuwa yale yale tu.
Aliye kuchangia pesa nyingi zaidi ndio atakuwa mgombea wakupitishwa.
Hata wale wakimbiza Mwenge, akiongezewa pesa kidogo, naye anaongeza kukimbiza mwenge, tena kwa mbwembwe, kilomita nyingi zaidi.
Kwani wanaochangia mbio za mwenge miaka yote ni akina nani ?Huyo anazungumzia makaburu na mawakala wao. Mabilionea wake. Sio hao Wananchi anaowaweka picha zao za visigino vyenye ukoko.(Sagamba)
Mbona Mwenge unachangishwa ?Wananchi gani hao? Mimi hapana aiseee, siwez changia pesa za matumbo ya watu zaidi ya hii kodi
Kwa hio nikiwa tayari kuchangia mwenge maana yake nipo tayar kuchangia mishahara ya wafanyakazi wa tume ya uchaguzi?Mbona Mwenge unachangishwa ?
Sijui. Wako chama gani?Kwani wananchi wako chama gani ?
Ni akina nani?Kwani wanaochangia mbio za mwenge miaka yote ni akina nani ?
sasa kama unachangia ujinga wa Mwenge utashindwaje kuchangia Tume huru ?Kwa hio nikiwa tayari kuchangia mwenge maana yake nipo tayar kuchangia mishahara ya wafanyakazi wa tume ya uchaguzi?
Hivi unafikiria au unaropoka tu ?
Kwani hii kamati ya bunge kukaa Dodoma kucbukua maoni ambayo pia yana onekana ni usanii wao wana lipwa na nani ?.Baada ya mivutano ya Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Sheria na Katiba kuhusu Tume ya Uchaguzi kuajiri wafanyakazi wake yenyewe , badala ya kutegemea Makada wa ccm wale Wakurugenzi wa Halmashauri , Tuliamua kufanya Utafiti mdogo mitaani .
Kiukweli Wananchi wanapinga kabisa Wakurugenzi kusimamia uchaguzi , hii ni kwa sababu wakurugenzi hao ni Makada halisi wa CCM na ni Wafia Chama .
Hata hivyo wananchi wameahidi kwamba wako tayari kuchangia mishahara ya Wafanyakazi wapya wa Tume kwa uaminifu kama vile wanavyochangia Mbio za mwenge milele na milele , kwa hiyo visingixio vyovyote vya kukwepa jambo hili kwa sababu ya ukosefu wa fedha havitakubalika .
Hapo sasa !Kwani hii kamati ya bunge kukaa Dodoma kucbukua maoni ambayo pia yana onekana ni usanii wao wana lipwa na nani ?.
Ccm hufanya vitu vingi kwa hila sana.
Yeye mwenyekiti kajuaje serikali haina pesa? Wao ndio wasemaji wa serikali?
Bakuli la kukimbiza mwenge huwa linakuja hadi ufipa mnachangia?Kwani wanaochangia mbio za mwenge miaka yote ni akina nani ?