Pre GE2025 Wananchi wako tayari kuchangia mishahara ya Wafanyakazi wa Tume Huru kama wanavyochangia mbio za mwenge

Pre GE2025 Wananchi wako tayari kuchangia mishahara ya Wafanyakazi wa Tume Huru kama wanavyochangia mbio za mwenge

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Baada ya mivutano ya Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Sheria na Katiba kuhusu Tume ya Uchaguzi kuajiri wafanyakazi wake yenyewe , badala ya kutegemea Makada wa ccm wale Wakurugenzi wa Halmashauri , Tuliamua kufanya Utafiti mdogo mitaani .

Kiukweli Wananchi wanapinga kabisa Wakurugenzi kusimamia uchaguzi , hii ni kwa sababu wakurugenzi hao ni Makada halisi wa CCM na ni Wafia Chama .

Hata hivyo wananchi wameahidi kwamba wako tayari kuchangia mishahara ya Wafanyakazi wapya wa Tume kwa uaminifu kama vile wanavyochangia Mbio za mwenge milele na milele , kwa hiyo visingixio vyovyote vya kukwepa jambo hili kwa sababu ya ukosefu wa fedha havitakubalika .
wachaga mmeshabuni ulaji. Maana wabarikiwa mmebuni ulaji kwenye vifo, kwenye harusi, sijuwi kipaimara na kila aina ya mkusanyiko, uwe wa furaha au huzuni. Sasa mnaingiza ubunifu wenu wa kutafuta pesa kwa njia yoyote ile kwenye siasa.

Mmeniwacha hoi.
 
Kwani nyie mmezuiwa kutafuta pesa? ni mjinga wenu achane wachaga wapige pesa
 
Back
Top Bottom