GE2025 Wananchi wakutana kushangilia kifo cha Ndugai!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
CCM angalieni mnapopeleka Taifa....Video hizo 2 za usiku ni wananchi wa jimbo la Kongwa wakishangilia msiba......dah,imagine wa mtu ambaye angekuwa Mbunge wao na alikuwa Mbunge wao wa muda mrefu.
Hawaamini kama amepita kihalali?

Video nyingine ni tukio la March 10,2009
Your browser is not able to display this video.
 
Nimekumbuka yule rais aliyeuwa kwa risasi, rais wa Romania, Ceauศ™escu. Alikuwa ametoka ''kushinda'' uchaguzi mkuu kwa asilimia 99, lakini siku chache baadae akazomewa na umati na kuuawa. Ndugai naye alikuwa ametoka ''kushinda'' kura za maoni na alikuwa anasema wananchi wake wanampenda. Ila CCM wasipomsikiliza Polepole, kuwa tunahitaji maridhiano ya kitaifa ili tuanze upya hali itazidi kuwa mbaya....
 
Muda haujatimia
Toka amvamie na kumpiga mzee warioba? Kuhusiahwa na jaribio la kumuua TAL na mauaji mengine??? Aiseeh huyu mtu anaulendeleo saana maana yeye anazidi tu kushine na kufikia ndoto zake ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ
 
Hizi ndo mada mpendazo chadema ๐Ÿ˜‚ hapo roho zenu n burudani tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ