Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Nimezikumbuka zile Tambo za Jamaa wakati Lissu alipokuwa anaumwa.Ni maono ya kiroho sana
Hakika Matendo Makuu ya Mungu ni ya Ajabu sana.
Wasiposhtuka watapukutika wote.
Nimezikumbuka zile Tambo za Jamaa wakati Lissu alipokuwa anaumwa.Ni maono ya kiroho sana
Namimi nakuuliza swali Hilo .Hivi ni nani ana uhakika kuwa hapo ni kongwa na kina yeyote amesikia neno la ndugai limetajwa?!!!
Kwa akili za nani anaweza kukubali kuwa huku ni kushangilia kifo cha Mh. Nduga. Ila kama walishangilia cha babaako hapo sawa!Nimesikitishwa na kutishika na video hizi zinazodaiwa kuwa za Wananchi jimboni kwa Job Ndugai wakishangilia kifo chake
View attachment 3434487
Nadhani ndio maana mleta thread kasema "zinazodaiwa"Hivi ni nani ana uhakika kuwa hapo ni kongwa na kina yeyote amesikia neno la ndugai limetajwa?!!!
Forget that,labda nadhani ndugai alikuwa mgonjwa kwa namna fulani,tutakumbuka aliwahi kupelekwa india kwa shida za kiafya/ na siyo hayo chadema wanayoyafikiri,Soon ...
duh! Hadi kompyuta?Taarifa ya sasa inaeleza kwamba, wote walioandaa Hotuba ile ya mazishi ya Lissu zikiwemo na kompyuta zilizotumika kuchapishia Wamepukutika, hakuna hata mmoja aliyesalia.
CCM imechokwa mnoooo!Nimesikitishwa na kutishika na video hizi zinazodaiwa kuwa za Wananchi jimboni kwa Job Ndugai wakishangilia kifo chake
View attachment 3434487
OK basi sawaForget that,labda nadhani ndugai alikuwa mgonjwa kwa namna fulani,tutakumbuka aliwahi kupelekwa india kwa shida za kiafya/ na siyo hayo chadema wanayoyafikiri,
Rip, Job ndugai,umetangulia katika makazi yetu sote ya milele.
hawa ni wehu, ndugai aliwakosea nini?CCM angalieni mnapopeleka Taifa....Video hizo 2 za usiku ni wananchi wa jimbo la Kongwa wakishangilia msiba......dah,imagine wa mtu ambaye angekuwa Mbunge wao na alikuwa Mbunge wao wa muda mrefu.
Hawaamini kama amepita kihalali?
Video nyingine ni tukio la March 10,2009View attachment 3434482
Baada ya kuliuwa bunge anakusanuwa nini wakati kazi ya bunge ni kusimamia serikali?Ila maisha sema mwamba apumzike kwa amani alitusanua jambo
Utakuta yanaongozwa na mbunge mwenza aliyeshindwa katika kura za wajumbe!hawa ni wehu, ndugai aliwakosea nini?
Hoja ya kipuuzi kabisaHaya na wewe kimada cha Makonda haukombali kuonyesha hisia zako karibu
Ccm imechokwa hata na wanachama wakehawa ni wehu, ndugai aliwakosea nini?
Mwendo kaumaliza watu wa jimboni kwake walimkinai jumlaBaada ya kuliuwa bunge anakusanuwa nini wakati kazi ya bunge ni kusimamia serikali?
Wabongo ndio maana tunachezewa sana, Ndugai ni mshenzi sana wanaosherehekea kifo chake wapo sahihi.