GE2025 Wananchi wakutana kushangilia kifo cha Ndugai!

GE2025 Wananchi wakutana kushangilia kifo cha Ndugai!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ndugai ndio spika aliyeruhusu kupitishwa kwa miswaada ya hovyo bungeni.Ndiye alipelekea kupitisha sheria mbovu ya usalama wa Taifa inayowaruhusu maafisa wa Usalama wa Taifa kuwa JESHI(usishangae hao wasiojulikana wametokana na sheria hii).Ndugai alipitisha sheria ya hovyo wakiwa na Masaju ya kuficha mashahidi ili watu wanyongwe(kumbuka utetezi wa Lissu kwenye kesi yake inayoendelea).Ndugai ameshirika kupiga rubber stamp sheria nyingi za hovyo na alishindwa kabisa kulipa meno bunge.
Ndugai alimaliza ubunge kwa aibu ya karne,ndio spika aliyelamba miguu ya Mamlaka(executive) ili kuspare pension na ulaji wake binafsi badala ya kutetea nchi(kumbuka alipotoa kauli ya kweli kuhusu deni la Taifa).
Ni kweli watu wote tutakufa lakini tujue jambo moja-ukitenda mema utakufa na ukitenda mabaya utakufa.Swali ni je kwanini uogope kusimamia ukweli na haki?Maana in any way destination ni kifo!Ndugai awe somo kwa watawala better to sideline with the truth and justice na nafsi yako itapumzika kwa aman
 
Hivi jimbo la mchinga nalo lina maendeleo ya kweli au ndo tusubiri chereko chereko za raia maana nimeupenda huu utaratibu mpya
 
Ndugai ndio spika aliyeruhusu kupitishwa kwa miswaada ya hovyo bungeni.Ndiye alipelekea kupitisha sheria mbovu ya usalama wa Taifa inayowaruhusu maafisa wa Usalama wa Taifa kuwa JESHI(usishangae hao wasiojulikana wametokana na sheria hii).Ndugai alipitisha sheria ya hovyo wakiwa na Masaju ya kuficha mashahidi ili watu wanyongwe(kumbuka utetezi wa Lissu kwenye kesi yake inayoendelea).Ndugai ameshirika kupiga rubber stamp sheria nyingi za hovyo na alishindwa kabisa kulipa meno bunge.
Ndugai alimaliza ubunge kwa aibu ya karne,ndio spika aliyelamba miguu ya Mamlaka(executive) ili kuspare pension na ulaji wake binafsi badala ya kutetea nchi(kumbuka alipotoa kauli ya kweli kuhusu deni la Taifa).
Ni kweli watu wote tutakufa lakini tujue jambo moja-ukitenda mema utakufa na ukitenda mabaya utakufa.Swali ni je kwanini uogope kusimamia ukweli na haki?Maana in any way destination ni kifo!Ndugai awe somo kwa watawala better to sideline with the truth and justice na nafsi yako itapumzika kwa aman
Ndiye aliyeandaa risala ya Msiba wa Lissu kabla ya kufariki
 
Taarifa ya sasa inaeleza kwamba, wote walioandaa Hotuba ile ya mazishi ya Lissu zikiwemo na kompyuta zilizotumika kuchapishia Wamepukutika, hakuna hata mmoja aliyesalia.
Bado Paul Christian Makonda
Bado Daudi Albert Bashite
 
Kwani ndio waliomtoa roho, mpaka washangilie?
Acha tusubiri chanzo cha kifo
 
Tutafute hekima ta Mungu. Nayo ikishapatikana, upendo utatamalaki, , msamaha utakuwa jambo la kawaida, utekaji na mauaji kwa wanaowakosoa watawala havitakuwepo, na wenye mamlaka watatoka katika upofu na kujua kwamba madaraka hayawaondoa kwenye ubinadamu.

Mungu wetu tunamuomba utujalie kuwa na viongozi wenye hekima.
 
Alipitaje kwenye kura za maoni,CCM muogope Mungu
 
Nimesikitishwa na kutishika na video hizi zinazodaiwa kuwa za Wananchi jimboni kwa Job Ndugai wakishangilia kifo chake

View attachment 3434487
Watakuwa ni wanafiki,kumuweka waliweza kumuweka wenyewe na hata kumtoa ni wao ndio walikuwa na nguvu ya kumtoa pale walipoona anaharibu,hakuna aliewalazimisha wamchague,ukiona mahali mbunge kaangushwa kwenye uchaguzi ujuwe wananchi wa eneo husika wanajielewa,sio kusuburi amefariki halafu mnajifanya kushangilia...
 
Watakuwa ni wanafiki,kumuweka waliweza kumuweka wenyewe na hata kumtoa ni wao ndio walikuwa na nguvu ya kumtoa pale walipoona anaharibu,hakuna aliewalazimisha wamchague,ukiona mahali mbunge kaangushwa kwenye uchaguzi ujuwe wananchi wa eneo husika wanajielewa,sio kusuburi amefariki halafu manjifanya kushangilia...
Kwa tume ipi ya uchaguzi wanachi wawe na nguvu, hivyo hivyo sir God kasaidia
 
Back
Top Bottom