Tochuku
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 5,322
- 8,412
Yule kachinja ng'ombe 300 sio rahisi ...Duuui bado konda
Yule kachinja ng'ombe 300 sio rahisi ...Duuui bado konda
Jamaa haamini macho yake bado.Pooza moyo mkuu, hapo ni Ukraine. Watanganyika kamwe hawawezi onesha hisia zao dhidi ya viongozi dhalimu, wanaokandamiza haki zao
Huyo jamaa ni bonge la pumbavu usimtie maanani maana ni zaidi ya chawa, niamini mimiJitoe akili tu. Tanzania ina hali mbaya...
Tatizo harakaharaka anawachorea ramani maadui 🤔🤔Nimekumbuka yule rais aliyeuwa kwa risasi, rais wa Romania, Ceaușescu. Alikuwa ametoka ''kushinda'' uchaguzi mkuu kwa asilimia 99, lakini siku chache baadae akazomewa na umati na kuuawa. Ndugai naye alikuwa ametoka ''kushinda'' kura za maoni na alikuwa anasema wananchi wake wanampenda. Ila CCM wasipomsikiliza Polepole, kuwa tunahitaji maridhiano ya kitaifa ili tuanze upya hali itazidi kuwa mbaya....
Nenda kwenye page ya Mrisho Mpoto hajapost tena tangu apost kufiwa na mke wake na hakuna post ya kumpa pole ameambiwa asilete taharuki mitandaoni, kifo ni kifo tu.Hivi ni nani ana uhakika kuwa hapo ni kongwa na kina yeyote amesikia neno la ndugai limetajwa?!!!
Ukimsitishia ubunge mbunge hufa!?Akidhani atamuua Lissu kwa kumsitishia ubunge ila kafa kamuacha Lissu.
Mbona tofauti na uliyemjibu alichoandikaNenda kwenye page ya Mrisho Mpoto hajapost tena tangu apost kufiwa na mke wake na hakuna post ya kumpa pole ameambiwa asilete taharuki mitandaoni, kifo ni kifo tu.
Wewe katafute maji baridi kunywa kwanza upumzike usije kufa kwa pressure.TCRA isicheke na maujinga haya yanayotengenezwa na vyombo vya hbr vinaendekea huo ufirauni vishughulikiwe
Ungefuatilia mtiririko utaelewa nimemjibu niliyemkusuduia.Mbona tofauti na uliyemjibu alichoandika
Wamkumbuke kwa lipi?Watakapoanza kulia na kumkumbuka tutaomba utuletee video nyingine
Haya ndio yale mataahira hata barua ya mtendaji wa mtaa yanagonga muhuri wa siri.Wewe kamtafute maji baridi kunywa kwanza upumzike usije kufa kwa pressure.
Watu wamechoka TCRA haiwezi kuzuia majira, majira imefika wananchi wanaomyeaha hisia zao wewe na kukariri kwako kuwa mlikuwa mnawadhibiti raia unaota kuwa mtaendelea tu. PUMBAVU WAHED
Kumbee 😳 !Nimekumbuka yule rais aliyeuwa kwa risasi, rais wa Romania, Ceaușescu. Alikuwa ametoka ''kushinda'' uchaguzi mkuu kwa asilimia 99, lakini siku chache baadae akazomewa na umati na kuuawa. Ndugai naye alikuwa ametoka ''kushinda'' kura za maoni na alikuwa anasema wananchi wake wanampenda. Ila CCM wasipomsikiliza Polepole, kuwa tunahitaji maridhiano ya kitaifa ili tuanze upya hali itazidi kuwa mbaya....
BashiteTaarifa ya sasa inaeleza kwamba, wote walioandaa Hotuba ile ya mazishi ya Lissu zikiwemo na kompyuta zilizotumika kuchapishia Wamepukutika, hakuna hata mmoja aliyesalia.
We nae kutwa kuwasema CHADEMA huchoki? Au Lissu kakubwaga hatujui? Comments zako zote unawanyali cdm .hebu tuache bibi wee!Hizi ndo mada mpendazo chadema 😂 hapo roho zenu n burudani tuu
Kuna kadhaa sijasikia bado, Mungu aendelee kuonesha ukuu wake!Taarifa ya sasa inaeleza kwamba, wote walioandaa Hotuba ile ya mazishi ya Lissu zikiwemo na kompyuta zilizotumika kuchapishia Wamepukutika, hakuna hata mmoja aliyesalia.
Samia achukue funzo hapa Kwa haya yanayoendelea Kwa wananchi, marehemu alikuwa anataka kujimilikisha Jimbo Kwa Miaka 30 pumbavuuu zake kabisaa Huko alikoNimekumbuka yule rais aliyeuwa kwa risasi, rais wa Romania, Ceaușescu. Alikuwa ametoka ''kushinda'' uchaguzi mkuu kwa asilimia 99, lakini siku chache baadae akazomewa na umati na kuuawa. Ndugai naye alikuwa ametoka ''kushinda'' kura za maoni na alikuwa anasema wananchi wake wanampenda. Ila CCM wasipomsikiliza Polepole, kuwa tunahitaji maridhiano ya kitaifa ili tuanze upya hali itazidi kuwa mbaya....
Nchi yetu haina uhaba wa wajinga, they are evenly distributed.Hizo clip mbona hazina uthibitisho wowote ule kua ni za kushangilia kifo cha Ndugai?
Hakuna uthibitisho wowote ule kua hapo ni Jimboni kwa Ndugai!
JamiiCheck
Moderator