GE2025 Wananchi wakutana kushangilia kifo cha Ndugai!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
S
Watu wasi shangilie ??
Shangilia tu kwani unakatazwa? Hata kama wewe ni msafi sana unaharibu usafi wako kutokana na matendo yako!, Ebu jiulize, unaposhangilia anayeumia hapo ni huyo aliyekufa au ni ndugu zake? Nafikiri jibu ni ndugu zake! Je, hao ndugu zake nao walikufanyaje?
 
Walikula nae mema ya nchi ,wame umia kwenda kukosa mema zaidi
 
Unaweza kutangulia wewe! Unafikiri wewe ni msafi kuliko Makonda?
USHOGA tunakusumbua wewe, kwani kusema hivo ni kumaanisha Mimi msafi?? Tunawataja hao kwakua ni wahusika wa kuhisiwa wa mauaji ya watu mbalimbali na zulma sasa unafikiri mi ninge yafanya hayo ningeweza kuingia humu JF saa hiz??

Empty kabisa mwehu wewe
 
Kwa namna ulivyonijibu umeonesha kuwa kichwani hamna kitu! Hivi unaweza kuthibitisha hayo yote uliyoyasema?
 
Back
Top Bottom