GE2025 Wananchi wakutana kushangilia kifo cha Ndugai!

GE2025 Wananchi wakutana kushangilia kifo cha Ndugai!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ukosefu wa Ajira / Ujira kweli ni janga..., Idle Hands are the Devils Playthings.... (Hizi ni Dalili za Kukosa Kazi)

 
Chuki imetamalaki, Mungu aiponye nchi yangu, Tanzania,kwa Jina la Yesu.Wewe Mungu Baba unajua hatuna nchi nyingine zaidi ya hii tuliyopo sasa,nchi ya Tanzania,Amina 🙏
 
Umefikia 75% ya matumizi ya MB za kifurushi cha Internet Tsh.100,000 umebaki na 55 MB zitumike hadi 12.08.2025 00:17:09. Piga *149*01# kununua kifurushi kingine.
Kama 100-75 =25%------> 55 MB
100%------> ? MB
===========================
(100 X 55)/25 =220 MB Sawa na Tsh.100,000.00 (Ohooo!!). Huu utakuwa utakatishaji fedha si bure.
 
Jana nimemskiliza vyema HP .amesema hv;
Wanamtandao waanzilishi nao wameweka vijana wao..akaenda mbali zaid akasema walioenda kwa Jk kumshawishi agombee ni;
1.Samuel Sitta
2.Edo boy
3.Rostam
Na akasema inakuaje mtu fulani akitajwa tajwa huna inakua kweli?
Mfano now rumours has kua Makonda ndo Waziri mkuu ajaye na itakua kweli pia makonda ni kijana wa Samuel 6.
KUMBE MAKONDA NAYE NI MWANAMTANDAO ...Shenzi hatuwataki
Kifupi wanamtandao wameshika madaraka hatari... Makonda hafai kua Waziri📌
Punga kweli wewe. Chadema yenyewe ni mtandao, au hujui maana ya mtandao?!!! Huyo polepole mwenyewe ana mtandao wake anaoshirikiana nao na kumpa ushirikiano wa kitaalifa, maarifa na kifedha........aendelee kuwadanganya manyumbu yasiyojielewa huko.
 
Mbona hatuambiwi kafa kwa maradhi gani mpendwa wa Kongwa
 
Taarifa ya sasa inaeleza kwamba, wote walioandaa Hotuba ile ya mazishi ya Lissu zikiwemo na kompyuta zilizotumika kuchapishia Wamepukutika, hakuna hata mmoja aliyesalia.
Makonda aliyeratibu logistics za mashambulizi ya risasi bado yuko hai na anatarajiwa kuukwaa uwaziri mkuu panapo majaliwa.
 
Nimesikitishwa na kutishika na video hizi zinazodaiwa kuwa za Wananchi jimboni kwa Job Ndugai wakishangilia kifo chake

View attachment 3434487
Huenda hao wananchi wametumika na maadui wa Job Yustin Ndugai kufa.
Ndugu zake wanaweza kuanza na huyu
1754556547954.png
 
Back
Top Bottom