That's karma na karma huchukua miaka 4-5 kwahiyo tegemea mpukutiko mkali mwingine.Taarifa ya sasa inaeleza kwamba, wote walioandaa Hotuba ile ya mazishi ya Lissu zikiwemo na kompyuta zilizotumika kuchapishia Wamepukutika, hakuna hata mmoja aliyesalia.
Bado bibi KirobotoTaarifa ya sasa inaeleza kwamba, wote walioandaa Hotuba ile ya mazishi ya Lissu zikiwemo na kompyuta zilizotumika kuchapishia Wamepukutika, hakuna hata mmoja aliyesalia.
TCRA isicheke na maujinga haya yanayotengenezwa na vyombo vya hbr vinaendekea huo ufirauni vishughulikiweNimesikitishwa na kutishika na video hizi zinazodaiwa kuwa za Wananchi jimboni kwa Job Ndugai wakishangilia kifo chake
View attachment 3434487
Watakapoanza kulia na kumkumbuka tutaomba utuletee video nyingineNimesikitishwa na kutishika na video hizi zinazodaiwa kuwa za Wananchi jimboni kwa Job Ndugai wakishangilia kifo chake
Hii ni speculation tupuTaarifa ya sasa inaeleza kwamba, wote walioandaa Hotuba ile ya mazishi ya Lissu zikiwemo na kompyuta zilizotumika kuchapishia Wamepukutika, hakuna hata mmoja aliyesalia.
Hizi ni red flag kama hawazioni shauri yao na hii iwe fundisho kwa wenye mamlaka kwa sasa TAL yupo jela lakini anafuraha na afya tele wao wako uraiani kama wako jela wanawaogopa hata wanaowaongoza kwaua hawakubaliki ghadhabu za Mungu ziendelee juu yaoCCM angalieni mnapopeleka Taifa....Video hizo 2 za usiku ni wananchi wa jimbo la Kongwa wakishangilia msiba......dah,imagine wa mtu ambaye angekuwa Mbunge wao na alikuwa Mbunge wao wa muda mrefu.
Hawaamini kama amepita kihalali?
Video nyingine ni tukio la March 10,2009View attachment 3434482
Hukuwahi kuwambia TCRA wasicheke na nyie CCM mlivyo shangilia soka ,mdude nk walipo uawa mavi nyie mkiguswa nyie ndio panauma kwa vile mnajuona nyie ndio binadamu wengine ni mawe .mtaendelea kujifia kidogo kidogo hivyo hivyoTCRA isicheke na maujinga haya yanayotengenezwa na vyombo vya hbr vinaendekea huo ufirauni vishughulikiwe
Mungu wangu yote aliyofanya yameshasahaurika
Kikwete kwanza anaamini yeye ndiye binadamu wa kitanzania pekee yule hana maana kabisaKikwete na Samia mna Cha kujifunza hapaView attachment 3434492
Nilifikiri utanisaidia kuelewa nisichoelewa. Wewe umejiridhishaje kuwa ni kongwa na wanashangilia kifo Cha ndugai?!!Jitoe akili tu. Tanzania ina hali mbaya...
Haya na wewe kimada cha Makonda haukombali kuonyesha hisia zako karibuVipi kama ukianza wewe mkuu?Au wewe huna roho?
Kila kitu kina bei. Tutaona kama watashangilia Mchana kweupe. Lazima mazingira yatengenezewe....! Nawaza yawezekana Nawaza isivyo sahihiNimesikitishwa na kutishika na video hizi zinazodaiwa kuwa za Wananchi jimboni kwa Job Ndugai wakishangilia kifo chake
View attachment 3434487
Bado sijaelewa hii Falsafa ya Mungu. Ni ya juu sana.Taarifa ya sasa inaeleza kwamba, wote walioandaa Hotuba ile ya mazishi ya Lissu zikiwemo na kompyuta zilizotumika kuchapishia Wamepukutika, hakuna hata mmoja aliyesalia.
Ni maono ya kiroho sanaBado sijaelewa hii Falsafa ya Mungu. Ni ya juu sana.
Aliyetibiwa kwa fedha za serikali kwa 1.1bn anadanja wakati aliyefumuliwa risasi 40+, akanyimwa pesa za matibabu anadunda na anaendelea kuitetemesha DuniaNo reforms No election