Wananchi wamekuwa confused hawajui washike lipi. Ni kama wako in prisoners dilemma

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Kuna wale wanasema Samia hafanyi chochote bora Chadema lakini Msigwa kawaproove wrong na kuhamia CCM kumaanisha Samia is an icon of a nation in all aspects.

Kuna wale wanasema Samia anafanya mambo lakini wanasikia mikutano ya Chadema na kumproove wrong kwa trivial issues eti anauza bandari na mbuga za wanyama lakini kindi hili pia hawajua wapi pa kushika.

Samia has confused the nation totally.
 
maza na ccm nchi imewashinda hata kama ahamie mbowe bado ccm ni janga kwa taifa
 
Kuna wale wanasema Samia hafanyi chochote bora Chadema lakini Msigwa kawaproove wrong na kuhamia CCM kumaanisha Samia is an icon of a nation in all aspects.

Kuna wale wanasema Samia anafanya mambo lakini wanasikia mikutano ya Chadema na kumproove wrong kwa trivial issues eti anauza bandari na mbuga za wanyama lakini kindi hili pia hawajua wapi pa kushika.

Samia has confused the nation totally.
mbona unaongea ukweli mgumu na mchungu sana aisee 🐒
 
Ukishaelewa neno mwanasiasa tena wa dunia ya 3, hutachanganyikiwa wala kujiuliza. Mwanasiasa yuko kimaslahi zaidi, atauma na kupuliza ila anachotaka ni kujinehemesha yeye na familia yake.
 
Msigwa kuhamia ccm kwa fedha ni ushahidi mwingine kuwa ccm na samia wamechoka hawawezi siasa za ushindani na maendeleo zaidi ya kuwanunua wapinzani this is total failure
 
Kuna wale wanasema Samia hafanyi chochote bora Chadema lakini Msigwa kawaproove wrong na kuhamia CCM kumaanisha Samia is an icon of a nation in all aspects.

Kuna wale wanasema Samia anafanya mambo lakini wanasikia mikutano ya Chadema na kumproove wrong kwa trivial issues eti anauza bandari na mbuga za wanyama lakini kindi hili pia hawajua wapi pa kushika.

Samia has confused the nation totally.
Rushwa ni adui wa haki,Ahadi kumi za MWANA TANU bado hazijafutika.
 
The state is really in shambles!!! Hatuelewi mara mpina kasimishwa kisa kuongea ukweli kuhusu sukari, mchungaji msigwa kaenda CCM, bajeti, mikopo kutoka nchi nyingine......
 
Back
Top Bottom